Ingia Instagram kuna jamaa anauza nzuri sana milioni 21 waweza mshusha ukachukua ndinga, pia anazo Subaru Forester kali sana kuanzia 20 - 22 milioni...Habari Natafuta Gari VW Touareg., Budget Yangu Ni Tsh Mil 20. Kwa aliye nayo anaweza kuniPM, Nikipendezwa nayo tufanye biashara. Asante
View attachment 1902274
anatumia jina gani instagram?Ingia Instagram kuna jamaa anauza nzuri sana milioni 21 waweza mshusha ukachukua ndinga, pia anazo Subaru Forester kali sana kuanzia 20 - 22 milioni...
aiseeUnazungumzia Brevis ipi mkuu? Kama una milioni 8 - 10 unavuta Brevis matata kabisa...
Kama wewe ni mpole na hutaki makelele na watu go for RAV4 ambayo ni gari bora ya muda wote kwa watu wa kawaida na wenye kipato cha kawaida kisha utarudi hapa bila shuruti kunishukuru.Unanishauri nitafute gari ipi kwa budget hiyo ndugu. Sina Uzoefu sana na magari
Brevis hizo mnazopigaga kelele humu na kubana pua kwamba ni milioni 5 hivi mmeshawahi kununua mkaona matokea yake? 😂😂 ,Brevis mtu akikuuzia kwa bei chini ya 10m usinunueAcha kumtisha mkuu, brevis hizi za milion 5 mtaani na tajiri hakuna au?
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari Natafuta Gari VW Touareg., Budget Yangu Ni Tsh Mil 20. Kwa aliye nayo anaweza kuniPM, Nikipendezwa nayo tufanye biashara.
Asante
Huna uzoefu na magari halafu unaanza na Touareg mzee baba? Hio pesa nikutaftie Kluger V ukae kwa kutuliaUnanishauri nitafute gari ipi kwa budget hiyo ndugu. Sina Uzoefu sana na magari
Anazingua hizo hizo brevis zimewashinda watu service vipuri bei ghali ndio maana mtu anawaza aidha akumbatie service ya million au auze gari? Wana opt kuuza kwa bei chee sababu running cost na maintanance ni ngumu kwa 2.5L carAcha kumtisha mkuu, brevis hizi za milion 5 mtaani na tajiri hakuna au?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahah halafu service zake ndio za million 3/3 lazma mtu aingie kichaa!Kwa Budget hiyo ukiambiwa kuna Touareg inauzwa na huna uzoefu wa magari kwa kweli ikimbie, mwenye nayo atakuwa kafanya diagnosis kaona ni msala
Kwahio Pesa vuta Harrier tako la nyani,Vanguard au Kluger! One of those cars utanishukuru na tena utapata ilio katika hali nzuri sana ukitulia!Habari Natafuta Gari VW Touareg., Budget Yangu Ni Tsh Mil 20. Kwa aliye nayo anaweza kuniPM, Nikipendezwa nayo tufanye biashara.
Asante
Pitia vizuri TRA calculator mzee baba asije jamaa akajuta hapo TPAChief wasikuvunje moyo jariibu kuagiza, used zipo za milioni 10 hivi mtandaoni, huku kodi watakukamua kama milioni 12.. Hiyo ni vwya 2006, cc 2001-2500.
Ama la ukitaka used za hapa bongo, zipo kibao, japo sikushauri saana, ila zipo nzuri, tafuta kisha unampelekea jamaa mmoja ni mwanafamilia wa hapa hapa Jf, mtu mmoja safii saana, ana gereji yake mwenge TRA pale, yeye ana deal na gari za ulaya tu, diagnosis na vitu vingine, unamcheki anakukagulia gari mambo yanasogea.. Usiogope chief.
Ulishawahi kuimiliki hiyo gari? Au ni zile stories za kwenye kahawa na balimi?Hamna gari humo pasua kichwa hilo yani hapa mjerumani alifeli kama muingereza kwenye rand rover 110
Sijawahi kukutana Na mhaya anaitwa masanjaUlishawahi kuimiliki hiyo gari? Au ni zile stories za kwenye kahawa na balimi?
Nimemiliki hiyo gari kwa miaka minne. Nikaiuza. Wakati nikiwa nayo, nimesafiri kwenda Arusha, Mwanza, Musoma, Iringa nk. Ni gari comfortable kwa safari na mwonekano pia. Kama leo ntanunua gari, itakuwa chagua langu la kwanza tena.
Sijui hizi stories watu mnazitoa wapi....Gari inakunywa mafuta (ebo..unataka inywe supu?), hakuna mafundi na blah blah nyinginezo. Ukweli ni kwamba VW ni gari nzuri. Ni gari comfortable. Ni gari ya safari. Ni gari ya kutembelea mjini. Ina kila hadhi ya kuitwa gari nzuri.
Mwisho wa siku gari yoyote ni matunzo na service.
Hapana bwana mkubwa ni stori za kwenye vikao vya double kiki na nyagi ila we mwenzetu tunashukuru kwa kutujuza kuwa ulishaimiliki hiyo gari ukaenda nayo mwanza,musoma,arusha nafikiri ulikuwa ukitokea kwenu bukoba,,,Ulishawahi kuimiliki hiyo gari? Au ni zile stories za kwenye kahawa na balimi?
Nimemiliki hiyo gari kwa miaka minne. Nikaiuza. Wakati nikiwa nayo, nimesafiri kwenda Arusha, Mwanza, Musoma, Iringa nk. Ni gari comfortable kwa safari na mwonekano pia. Kama leo ntanunua gari, itakuwa chagua langu la kwanza tena.
Sijui hizi stories watu mnazitoa wapi....Gari inakunywa mafuta (ebo..unataka inywe supu?), hakuna mafundi na blah blah nyinginezo. Ukweli ni kwamba VW ni gari nzuri. Ni gari comfortable. Ni gari ya safari. Ni gari ya kutembelea mjini. Ina kila hadhi ya kuitwa gari nzuri.
Mwisho wa siku gari yoyote ni matunzo na service.
Hata ww chungulia chief, utaona kodi ya toureg 2006, cc2001-2500 ni milioni 12 na chenji..Pitia vizuri TRA calculator mzee baba asije jamaa akajuta hapo TPA
Waswahili bana….yaani tunafurahi tukiona kila mtu amefulia Kama sis. Anyway ngoja tupambane na tozo kwanza.Sijawahi kukutana Na mhaya anaitwa masanja
anatumia jina gani instagram?