Kirchhoff
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,735
- 8,541
Na kwa utaalamu mtu anapokula mnyama mtamu kama nguruwe au bata anaweza jikuta anatamka unajisi hakika maana si kwa utamu ule! Nguruwe ni mtamu namshukuru wife kwa kunitengenezea na ugali jioni hii!Kitu kinachomtia mtu unajisi si kile kiingiacho kinywani, bali kile kitokacho kinywani. Hicho ndicho kimtiacho mtu unajisi.” Mathayo 15:11