Na kwa utaalamu mtu anapokula mnyama mtamu kama nguruwe au bata anaweza jikuta anatamka unajisi hakika maana si kwa utamu ule! Nguruwe ni mtamu namshukuru wife kwa kunitengenezea na ugali jioni hii!
Baelezee baelezee mutu ya Mungu. Kwa mutu mwenye ana akili kwa kichwa, atajuaga neno ya Agano Jipya ndio neno ile ya kutupeleka mbinguni, na si kwa sheria na si kwa komplikashion, bali kwa neema itokayo Kalvari.