Vyakula gani vya kula ukiwa na pesa

Ukitaka kuutumia vizuri huo mpunga it doesnt matter unakula nini
Issue ni unakula wapi
Huohuo ugari nyama ulokuwa unakula kkoo kwa buku jero unaamua kuufata serena hotel kwa efu50.
Kupanga ni kuchagua
Sema tofauti ya ugari wa kariakoo ni kwamba unapewa ugari mwingi mboga kidogo kwa 1500 ila kule serena unapewa ugari kidogo mboga nyingi kwa elfu 50
 
Kama vipi chukua mkopa kabisa ujizoeshe kula kinene zaidi. Uende shopping ili kwenye kwenda kupokea mpunga utoke chicha.

Kopa kama MILIONI 10 hivi, sio mbaya, uanze kula bata na shopping, halafu booom likitoka utalipa tu.[emoji23]
 
Kilichoongezeka ugali wa kariakoo unawekwa na Amira/hamira kidogo wewe lazima utasinzia tu ila ugali wa Serena wanaheshimu pesa yako uliyotoa [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Kumbe tofauti ziko nyingi eeh mkuu sasa kwa nini nisiende serena mkuu kula ugari wa elfu 50
 
Kama vipi chukua mkopa kabisa ujizoeshe kula kinene zaidi. Uende shopping ili kwenye kwenda kupokea mpunga utoke chicha.

Kopa kama MILIONI 10 hivi, sio mbaya, uanze kula bata na shopping, halafu booom likitoka utalipa tu.[emoji23]
Aaah mkuu hunitakii mema nifanyie starehe pesa ya mkopo.
 
Unatafta pesa kwa jasho,ukizipata unakula hovyo after a yr una presha ,kisukar,unabak kujitibia throughout ua whole fu.ckn yrs.

Ts insagne.....
 
Mkuu jibu swali vyakula ganj vya kula ukiwa na pesa?
 
Kumbe tofauti ziko nyingi eeh mkuu sasa kwa nini nisiende serena mkuu kula ugari wa elfu 50
Pochi lako tu mkuu, si wote wanapenda kula kariakoo wanajua hayo lakini hawana jinsi [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Hahahaaaaa. MR Tecno naomba nicheke kwanza kisha nakuja kuandika. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…