Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda hotel za kitalii serengeti huko ndo kina bataMkuu Nasubiria timu moja tu nibukue kama 150 M
Sema tofauti ya ugari wa kariakoo ni kwamba unapewa ugari mwingi mboga kidogo kwa 1500 ila kule serena unapewa ugari kidogo mboga nyingi kwa elfu 50Ukitaka kuutumia vizuri huo mpunga it doesnt matter unakula nini
Issue ni unakula wapi
Huohuo ugari nyama ulokuwa unakula kkoo kwa buku jero unaamua kuufata serena hotel kwa efu50.
Kupanga ni kuchagua
Unaongezea na dagaa pembeni hapo,bonge la diet hiloMkuu unataka niendelee kula Ugali kabichi
Mkuu nakula kile napenda na hata nikizikamata sema kitakachoongezeka ni furaha tuBado hujazikamata mkuu subiri ushinde beti utaikana hiyo kauli yako.
Hiyo itakuletea pressure mkuu,usiguseAlafu nyama choma nimuachie nani mkuu?
Kilichoongezeka ugali wa kariakoo unawekwa na Amira/hamira kidogo wewe lazima utasinzia tu ila ugali wa Serena wanaheshimu pesa yako uliyotoa [emoji1] [emoji1] [emoji1]Sema tofauti ya ugari wa kariakoo ni kwamba unapewa ugari mwingi mboga kidogo kwa 1500 ila kule serena unapewa ugari kidogo mboga nyingi kwa elfu 50
Kumbe tofauti ziko nyingi eeh mkuu sasa kwa nini nisiende serena mkuu kula ugari wa elfu 50Kilichoongezeka ugali wa kariakoo unawekwa na Amira/hamira kidogo wewe lazima utasinzia tu ila ugali wa Serena wanaheshimu pesa yako uliyotoa [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Aaah mkuu hunitakii mema nifanyie starehe pesa ya mkopo.Kama vipi chukua mkopa kabisa ujizoeshe kula kinene zaidi. Uende shopping ili kwenye kwenda kupokea mpunga utoke chicha.
Kopa kama MILIONI 10 hivi, sio mbaya, uanze kula bata na shopping, halafu booom likitoka utalipa tu.[emoji23]
Pochi lako tu mkuu, si wote wanapenda kula kariakoo wanajua hayo lakini hawana jinsi [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kumbe tofauti ziko nyingi eeh mkuu sasa kwa nini nisiende serena mkuu kula ugari wa elfu 50