Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ππππ na kweli usemalo best.Hahahaaa... Mkuu jitahidi kujiandaa kisaikolojia endapo matokeo yatakuja tofauti.
Kama unajua kuwa upo kwenye uzero basi wewe siyo zero haahaa chizi akishajijua yeye ni chizi basi kapona huyoHivyo nimeshakula sana mkuu bado nipo kwenye Uzero wangu .
Ndivyo baadhi ya watanzania tulivyojiaminishaHivi kumbe hizi mbona wanakulaga ambao hawajatusua eee?
Nlikua na testi umeme, kama VOLT zipo za kutosha. Kumbe zipo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu bwana ulifikiri zimepelea kabisa eeh
Jpil mambo ni fireeeeeee[emoji23] [emoji23] [emoji23]Jumapiliiii hiyooooooo.
Muwe hewani. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bia kusahau Kaka Joseverest
Siyo zero tena weweAah mkuu kwa hiyo mimi siyo Zero eti nimeshapona ?
Duuuh. Kama ni hivyo yatupasa tupewe elimu zaidi aiseee sababu ulaji sio kipimo cha mtu kuwa masikini.Ndivyo baadhi ya watanzania tulivyojiaminisha
Inahitajika kwa kweli,kuna baadhi ya virutubisho tunavikosa kwa imani kwamba chakula kile ni cha watu wenye vipato kileDuuuh. Kama ni hivyo yatupasa tupewe elimu zaidi aiseee sababu ulaji sio kipimo cha mtu kuwa masikini.
una uhakika gani wewe hautapata kisukari mzee?usitukane mamba haujavuka mto mheshimiwa,acha kukoment ujuaji kwenye magonjwa sisi wote binadamu kuugua ni muda wowote ,siku hizi hata watoto wanakisukari,mshukuru Mungu kwa hiyo afya njema uliyonayoNdio maana mnaishia kupata kisukari pindi mkijaaliwa senti za kubadili vyakula.
Hahahaaaa. Zero mie nakumbuka Ugali na bamia ππππVipi hajar bado unakumbuka msosi gani wa kitambo kile?