Vyakula gani vya kula ukiwa na pesa

Vyakula gani vya kula ukiwa na pesa

Inahitajika kwa kweli,kuna baadhi ya virutubisho tunavikosa kwa imani kwamba chakula kile ni cha watu wenye vipato kile
Umeonaeee. Na hii huwa inasababisha baadhi ya watu kufa kwa magonjwa yanayosababishwa na ulaji wa mavyakula yasiyofaa kiafya kisa tu ya pesa.
 
una uhakika gani wewe hautapata kisukari mzee?usitukane mamba haujavuka mto mheshimiwa,acha kukoment ujuaji kwenye magonjwa sisi wote binadamu kuugua ni muda wowote ,siku hizi hata watoto wanakisukari,mshukuru Mungu kwa hiyo afya njema uliyonayo
Wewe nawe umetokea wapi unadandia tu treni kwa mbele? Mbona niliemwambia hivyo hajatokwa povu kama wewe? Afya yangu njema unaijua? Unajuaje siumwi
 
Hahahaaaa. Zero mie nakumbuka Ugali na bamia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mi ugari na kabichi tu ndio ulikuaa unaniacha hoi tonge la kwanza unameza na la pili pia lakini kadili unavyoendelea kula ugari unazidi kuzunguka pale mdomoni mwisho wa siku unameza mate ugari unabaki aaaaaah aaakh kabichi kiboko.
 
Utajri inatakiwa ale baga,pizza,soseji ,Hennessey ,Maji Kilimanjaro, asile nyumbani akale KFC ,au pale mlimani city
Kufa kupo tu lakini kwa menu hiyo unakialika kifo kupitia magonjwa hatari yasiyo ya kuambukiza na yasiyo na tiba
 
Mboga za majani nyingi especially spinach

Matunda mengi

Nyama nyeupe wastani (Ukiweza usile nyama kabisa)

Kula kidogo sana ugali (dona), ukiweza usile wali kabisa, kula mkate wa ngano isiyokobolewa

Achana na vyakula vyote vya viwandani ikiwemo Juice

Kunywa maji mengi sana

Achana na sukari

Nyongeza: Fanya mazoezi

Watu wote wenye hela (Nje ya Afrika wanaishi hivi)
 
Mkuu kwani nimekwambia mimi mgonjwa?
 
Nyama Nyeupe
Mboga Mboga kwa sana tena zisizoungwa wala kutiwa mafuta

Matunda

Ugali kiasi

Wali kiasi

Viazi vitamu kiasi

Maji kwa wingi
 
Nyama Nyeupe
Mboga Mboga kwa sana tena zisizoungwa wala kutiwa mafuta

Matunda

Ugali kiasi

Wali kiasi

Viazi vitamu kiasi

Maji kwa wingi
Mkuu huu ni ushauri wa daktari kwa mtu anayeugua mi nataka uniambie misosi ya kuliwa ukiwa na pesa.
 
Unataka uwe mgonjwa ndio ule vyakula ili usife mapema?

Au

Unataka ule vyakula salama ili usiwe mgonjwa?
Nataka uniambie vyakula vya kula ukiwa na pesa ,

Wewe umetoa ushauri wa vyakula kutoka kwa daktari kuelekea kwa mgonjwa.
 
Nataka uniambie vyakula vya kula ukiwa na pesa ,

Wewe umetoa ushauri wa vyakula kutoka kwa daktari kuelekea kwa mgonjwa.
Mkuu wenye hela ndio wanakula hivyo. Masikini wanaopata hela za hapa na pale ndio wanakula hayo mabaga yenu
 
Back
Top Bottom