Vyakula gani vya kula ukiwa na pesa

Vyakula gani vya kula ukiwa na pesa

Jibu maswali yale mawili nijue ninaanzia wapi.

Nitajie chakula ambacho huwa unakula mara kwa mara pia nitajie chakula/vyakula unavyotamani kuvila ila uwezo wa kuvinunua hauna.
Basi mkuu nimeghairi kama kujua misosi tu maswali yote haya wacha nipambane na wali maharage
 
Mkuu ZERO IQ siku ukizinyaka kula misosi kama masalo gosa, chicken tomodano, indian roast, spagheti bolognaise na lemon baridi.
 
Mkuu ZERO IQ siku ukizinyaka kula misosi kama masalo gosa, chicken tomodano, indian roast, spagheti bolognaise na lemon baridi.
Kidog wewe umekuja na jibu la uhakika maana hiyo misosi sijawahi kula asee.
 
kula mlenda, kisamvu,mchicha, karanga za kutafuna,, maharage , dona, kande, maji mengi then tulia. wenye fedha za maana hawali hizo junk food......
 
Back
Top Bottom