Vyakula gani vya kula ukiwa na pesa

Vyakula gani vya kula ukiwa na pesa

Mimi nikiwa na laki mfukoni ninakula wali maharage bila matatizo. Nikiwa na 10,000 ya budget ndiyo ninatamani soup chapati, mtori, soda baridi,
 
Kama unajua kuwa upo kwenye uzero basi wewe siyo zero haahaa chizi akishajijua yeye ni chizi basi kapona huyo
Aah mkuu kwa hiyo mimi siyo Zero eti nimeshapona ?
 
Mimi nikiwa na laki mfukoni ninakula wali maharage bila matatizo. Nikita na 10,000 ya budget ndiyo ninatamani soup chapati, mtori, soda baridi,
Kwa hiyo unashaurije hapo mkuu?
 
Mmmh. Mr Tecno [emoji15][emoji15][emoji15]

Mie nkajua ushazipata?
Bado ndio nipo kwenye maandalizi ya kuzipata kwani vibaya kuanza kupangilia matumizi mama samsung.
 
Ndio maana mnaishia kupata kisukari pindi mkijaaliwa senti za kubadili vyakula.
una uhakika gani wewe hautapata kisukari mzee?usitukane mamba haujavuka mto mheshimiwa,acha kukoment ujuaji kwenye magonjwa sisi wote binadamu kuugua ni muda wowote ,siku hizi hata watoto wanakisukari,mshukuru Mungu kwa hiyo afya njema uliyonayo
 
Back
Top Bottom