Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Ushawahi kula nyama ya mamba?Mkuu we nitajie list ya misosi mikali ya bongo
Basi mkuu nimeghairi kama kujua misosi tu maswali yote haya wacha nipambane na wali maharageJibu maswali yale mawili nijue ninaanzia wapi.
Nitajie chakula ambacho huwa unakula mara kwa mara pia nitajie chakula/vyakula unavyotamani kuvila ila uwezo wa kuvinunua hauna.
Unataka misosi ya kuanzia sh ngapi?Basi mkuu nimeghairi kama kujua misosi tu maswali yote haya wacha nipambane na wali maharage
Madam mlo kamili ni pamoja na papuchi?Mboga saba...ila nyama nyeupe, mboga za majani na dona...
Matunda mvuaa...
Kifupi tajiri unapaswa kula mlo kamili
Pesa ipo mfukoni kwa muhindi we unaipigia hesabu kabla hata hujaipata.!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa nini mkuu
Sawa Mkuu! Hata mm kiukweli nyama ya mdudu naipiga vilivyo!Nimeshaigonga sana mkuu na ata hivyo haitotoka kwenye list .
OOOH YEAH... HUU MPAMBANO NILIUKOSA MUBASHARA DADA NILIKUWA SAFARINI AISEEE...DAAAH ILA HAWAJALAMBA KITU
Pole sana Kaka ake. Walijua wangezipata point kirahisi rahisi.OOOH YEAH... HUU MPAMBANO NILIUKOSA MUBASHARA DADA NILIKUWA SAFARINI AISEEE...DAAAH ILA HAWAJALAMBA KITU
sio kirahisi hivyoPole sana Kaka ake. Walijua wangezipata point kirahisi rahisi.
OOOOH YEAH MI MZIMA HOFU KWAKO DADAKabisaaa.
Mzima lakini Kaka?
Mie pia niko salama.OOOOH YEAH MI MZIMA HOFU KWAKO DADA