Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,959
- 24,935
- Thread starter
- #161
Ulishawahi kwenda kwa bakhresa au mengi ukakuta aina hiyo ya vyakula mezani kwake?kula mlenda, kisamvu,mchicha, karanga za kutafuna,, maharage , dona, kande, maji mengi then tulia. wenye fedha za maana hawali hizo junk food......