Vyakula na vinywaji vinavyosababisha Kansa

Mwili wa sasa wa Prof.Janabi ni lishe duni Serikali imkamate kwa nguvu impige pingu imulishe vyakula vingi vya kutosha kuanzia vya wanga nk hadi mwili urudi vizuri.Pingu wakaazime magereza au polisi.FFU wasimamie zoezi la kumlisha chakula kwa bguvu ugali wa kutosha ,chai nzito ya maziwa ya kutosha,nyama choma ya kutosha ,na chakula kilichokaangwa vizuri kwa mafuta ,Juice za kutosha na maji ya kutosha alishwe mara tatu tatu kutwa kwa muda wa mwezi mmoja haki kamwili katabadilika
 
Yes,kama Zina marangi sio,chukua matunda tengeneza mwenyewe weka sukari kiasi
Profesa Janabi hataki. Anasema sukari ni sukari tu iwe ya viwandani au iliyomo katika matunda asilia. Anashauri kutumia juisi kwa kiasi kidogo sana hata kama utatengeneza mwenyewe!

Na ya viwandani usiiguse kabisa!
 
Mnauhakika zamani kuikuwa hamna kansa??? Au kansa zilikuwepo Ila walikuwa hawazijui
Kuna siri kubwa kwenye ishu ya magonjwa ambayo mimi na wewe hatuijui.

Mungu alitupa vyote duniani iweje atupe wanyama tutumie watupe magonjwa tufe?

Itabidi tuishi kwa uhalisia uliopo
Mimi binafsi nyama nayotumia ni Kitimoto siku mojamoja tofauti na hapo ni mwendo wa samaki.

Nimecomment kumpa challenge mleta mada ila asemayo ni kweli kulingana na wataalam wa afya
 
Kitimoto ndio mbaya zaidi

Bora ule mbuzi
 
Sasa mbon
Mbona almost vyakula vyote jamani??
Basi itoshe kusema bado hatujui exactly...what causes cancer...!
 
Hivi fried food ni vyakuoka kumbe?

Sent from my SM-A107M using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…