Vyakula na vinywaji vinavyosababisha Kansa

Vyakula na vinywaji vinavyosababisha Kansa

Kuna Mzee mmoja wa pale Usangi aliambiwa na Dr asile Red meat namfahamu,akapinga kauli ya Dr na alikufa mbona akiwa anajiona
 
Janabi kasema bia Moja Kwa Lisa's,sipati picha wanaopiga Konyagi sato Kwa lisaa
 
Salamu,vyakula ni vitamu,ila yapo makundi ukitumia Kwa wingi sana huenda vikakusababishia Canser.
1.Nitrates
2.Alcohol
3.Fried Food
4.Trans Fats
5.Canned Tomato
6.Food Dye
7.Mircrowave Popcorn
8.Red Meat
9.Hot Beverages.
10.Dairy
Hapo namba 3 nimewazia Chips yai teketeke,nikasema ngoja nijitafakari kwanza...
 
Red meat inaweza kusababisha gastric, rectal na colonic CAs. Kama hujui ni bora unyamaze tu
Ili tuendelee kuwapoteza tuwasisitize kula processed carbs, Sugar na seed oils.
Halafu tuwaambie Nyama, chumvi na animal fats ni tatizo.
 
Hapo namba 3 nimewazia Chips yai teketeke,nikasema ngoja nijitafakari kwanza...
Kula chips sio shida,ila frequency na miaka utakayokula na body reactions yako
 
Back
Top Bottom