Vyakula sio tatizo la upungufu wa nguvu za kiume. Tatizo ni kudharau mitishamba inayosafisha mfumo wa mwili

Vyakula sio tatizo la upungufu wa nguvu za kiume. Tatizo ni kudharau mitishamba inayosafisha mfumo wa mwili

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Mitishamba ipo na huwa inafanya kazi.

Mitishamba ilitumiwa na mababu zetu enzi na enzi na ndio maana walikuwa na wake zaidi ya wawili na shoo za ukweli zilipigwa.

Leo hii nashangaa kawama inakuwa mara vyakula. Sasa kama vyakula vimeharibu mwili kwa nini usitumie miti shamba kurekebisha mwili?
 
Miti shamba ya siku hizi mingi ya upigaji.. wamasai ndio hawafai kabisa
 
Baadhi ya miti-dawa
1. Mwarobaini
2. Mkomamanga
3. Mzambarau
4. Msufi
5. Mbuyu
6. Mstafeli
7. Mbangi aka Cannabis
8. Mnoni aka Morinda citrifolia
9. Mkarafuu
 
Back
Top Bottom