Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Mwambie akanunue vile vimbegu vinavyouzwa na wamasai vya kuharisha kupunguza unene, yaani ataharisha mpk puru atakua anairudishia kwa kidole.Miti shamba ya siku hizi mingi ya upigaji.. wamasai ndio hawafai kabisa
Vinahusika vipi na nguvu za kiumeMwambie akanunue vile vimbegu vinavyouzwa na wamasai vya kurahisha kupunguza unene, yaani ataharisha mpk puru atakua anairudishia kwa kidole.
Vumbi la congo... umeniwahi jirani...Mcongo?
Yeah,hatari sana nasikia jiraniVumbi la congo... umeniwahi jirani...
Sema inatibu niniBaadhi ya miti-dawa
1. Mwarobaini
2. Mkomamanga
3. Mzambarau
4. Msufi
5. Mbuyu
6. Mstafeli
7. Mbangi aka Cannabis
8. Mnoni aka Morinda citrifolia
9. Mkarafuu