Vyakula sokoni bei iko chini sana

Ni Jambo La Kheri Mnoo,,Endelea Kujenga Afya Kwa Bidii Ili Ikuwezeshe Kupambana Na Maradhi,Umaskini Na Miujinga.
 
Uko sahihi kimara kuna maisha magumu sana kwa vyakula
 
Nimekupataa
 
Inamaana hizi bei huja kutofautiana kwenye minada?

Maana jana nilikua maeneo flani hivi hapa mjini daslama kwenye mnada sado ya viazi mviringo ni 6,000 sasa nashangaa hiyo bei ya kindoo cha viazi mviringo ni 3,000 kidogo inanipa ukakasi wa bei zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…