Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko sahihi kimara kuna maisha magumu sana kwa vyakulasoko la temeke unamaanisha TANDIKA au stereo?
Soko la temeke ndo lipi tandika au stereo?
asee siku nmeenda mwanza nikikasirika. yan nlikua nasikia wanavosifia ooooh mwanza jiji la samaki na sato. mweeee sku nmeenda mwanza, ile kuulizia samak wa kukaangwa tena wa size ya kawaida tu eti wananambia elf 3. wakat samak huyo huyo dar nauziwa 1500.
mbez mwisho nako kuna maisha ya ajabu sana. sku moja nlikua natafuta unga wa mtama, sasa kwenda dukan naulizia wananambia kilo ya mtama ambao haujasagwa bei ni elf 3. nkaacha nkaenda bugurun nkakuta kilo ya unga wa mtama( yaan tayar ushasagwa) bei ni 1500 asee nlishangaa sana.
ila nlichogundua n kwamba, maeneo yenye wachaga wengi maisha huwa yanakua magumu sana by nature hata kimara napo pana maisha ya kiwaki sana. nmeishi moshi pia nako maisha magumu balaa.
Hapo sokoni ilala unasusiwa viungo mpaka bure... ilala boma sokoni chimboNdio kweli hata sijui liko wapi?
USSR
Nimekupataasoko la temeke unamaanisha TANDIKA au stereo?
Soko la temeke ndo lipi tandika au stereo?
asee siku nmeenda mwanza nikikasirika. yan nlikua nasikia wanavosifia ooooh mwanza jiji la samaki na sato. mweeee sku nmeenda mwanza, ile kuulizia samak wa kukaangwa tena wa size ya kawaida tu eti wananambia elf 3. wakat samak huyo huyo dar nauziwa 1500.
mbez mwisho nako kuna maisha ya ajabu sana. sku moja nlikua natafuta unga wa mtama, sasa kwenda dukan naulizia wananambia kilo ya mtama ambao haujasagwa bei ni elf 3. nkaacha nkaenda bugurun nkakuta kilo ya unga wa mtama( yaan tayar ushasagwa) bei ni 1500 asee nlishangaa sana.
ila nlichogundua n kwamba, maeneo yenye wachaga wengi maisha huwa yanakua magumu sana by nature hata kimara napo pana maisha ya kiwaki sana. nmeishi moshi pia nako maisha magumu balaa.
Inamaana hizi bei huja kutofautiana kwenye minada?Leonilienda siko la Buguruni nilichokutana nacho. Nyanya kisado 2500
Nyanyachungu fungu la 2000 hubebi. Viazi mviringo kindoo kidogo 3000
Mchele 1800. Vitunguu vya 2000 huwezi kubeba
Dkt. Mwigulu au marehemu Mafuru mlifanyafanyaje hapo?
Au ndio kuadimika kwa shilingi.