Vyakula vinavyoongeza hamu ya tendo la ndoa kwa haraka kwa mwanamke

Nijuacho mimi mwanamke anahitaji kupendwa na kujaliwa na mwenzi wake.Mwanamke akijua unampenda na kumjali automatically atakuwa na hisia za mapenzi , lakini akiwa na mwanaume asiyemjali wala kumpenda wala kujali hisia zake hupoteza hamu ya tendo kabisa.Na mwanamke akikutoa katika akili yake kamwe hawezi kuwa na hisia za mapenzi na wewe na nyege hupotea.
 


salute again SALUTE TO YOU
 
Kwa hiyo hilo ndo limbwata lao....ngoja nivijaze gheto
 
Kwahiyo mkuu unataka kutueleza nini kuhusu wanawake wanaotoka maeneo yanakolimwa hayo mazao...?Ndio maana kwenye foleni pale mataa ya Ubungo mihogo huwa haikawii kwisha!!
 
Inategemea na mwanamke mwenyewe.
Kama ana madeni kila kikundi cha vicoba
hata utumie mbinu gani za kupenda,
yeye kila mda anawaza wanaomdai,ukujidai kulipa
ili ajitume unashangaa kesho ana deni jipya.

uzuri maumbile yenu yanaruhusu mwenye
hama kupiga selfie na kujiondokea.
Mambo ya kuridhishana ni mpaka yule anayehitaji ndo anapata.
 
plus frustration
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…