MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,074
nadhani hapa atakuwa anaKODO 😱 anasubiri kwa ham
teh teh yupo busy sijui ! ngj nimuite kwa mbinja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nadhani hapa atakuwa anaKODO 😱 anasubiri kwa ham
mh! au anagegeda😛teh teh yupo busy sijui ! ngj nimuite kwa mbinja
Nijuacho mimi mwanamke anahitaji kupendwa na kujaliwa na mwenzi wake.Mwanamke akijua unampenda na kumjali automatically atakuwa na hisia za mapenzi , lakini akiwa na mwanaume asiyemjali wala kumpenda wala kujali hisia zake hupoteza hamu ya tendo kabisa.Na mwanamke akikutoa katika akili yake kamwe hawezi kuwa na hisia za mapenzi na wewe na nyege hupotea.
na jua hili afu umeme Fyuuuuuuuuuunahis ht mm aiiseee
Sasa kwa ambao hawako kweny uhusiano ndo nlichomaanisha..jidanganye!msome neema niwagila
Sasa kwa ambao hawako kweny uhusiano ndo nlichomaanisha..
Ngoja nijaribu njia zote mbili japo ya neema imegoma kwa watu zaidi ya wawilikote kote mkuu
Inategemea na mwanamke mwenyewe.Nijuacho mimi mwanamke anahitaji kupendwa na kujaliwa na mwenzi wake.Mwanamke akijua unampenda na kumjali automatically atakuwa na hisia za mapenzi , lakini akiwa na mwanaume asiyemjali wala kumpenda wala kujali hisia zake hupoteza hamu ya tendo kabisa.Na mwanamke akikutoa katika akili yake kamwe hawezi kuwa na hisia za mapenzi na wewe na nyege hupotea.
Neema niwagila ndo yupi,lete somo.jidanganye!msome neema niwagila
Neema niwagila ndo yupi,lete somo.
Good,ngoja nimcheckkuna mdada kakoment hapo juu anaitwa hvyo mchek alichocomment
plus frustrationView attachment 341934
VYAKULA VINAVYOONGEZA HAMU YA TENDO LA NDOA KWA HARAKA KWA MWANAMKE
Ni kweli kwamba kuna wanawake wengine huwa hata wakichezewa au kushikwashikwa kila mahali na mwanaume ili apate ashki[nyege] ya kufanya tendo la ndoa huwa ni kazi bure kwani hamu haimjii haraka au haimjii kabisa na hata akiamua kufanya anafanya tuu ili kumridhisha mwenzake.
Japokuwa hisia za mwanamke zipo mbali mno lakini kama mwanaume atamshikashika pande tofautitofauti za mwili wake na kumletea utundu wa hapa na pale basi hisia huja na akajiskia ni mwenye kuhitaji tendo hilo la kiutu uzima na akaweza ipasavyo.
Kama na wewe ni mmojawapo kati ya wahanga wa tatizo hilo nakushauri tumia dawa hizi zenye kupatikana kiurahisi kabisa katika mazingira yetu kwani ni zenye kusaidia kutibu kabisa matatizo ya kukosa hamu ya kufanya mapenzi kwa wanawake kwa haraka zaidi.
MBEGU ZA FENESI
Mbegu za fenesi zinafahamika na kila mmoja,ni zile ambazo zinapatikana ndani ya tunda la fenesi,kama mwanamke anapendelea kula tunda hizo kuanzia kumi au zaidi kila baada ya siku 4 baada ya kuzichemsha na kuiva vizuri basi hamu ya kufanya tendo la ndoa zitamzidia na atakuwa ni mwenye kutamani kufanya mchezo huo kwa matamanio makubwa sana....hii ni tiba nzuri kwa wanawake wenye tatizo hili.
UJI WA ULEZI
Wanawake wanashauriwa kunywa uji wa ulezi kila siku asubuhi kwani uji huu una uwezo wa kuamsha hisia za mapenzi
MUHOGO MBICHI
Imethibitishwa kwamaba kama muhogo mbichi kama utapendelewa kuliwa na mwanamke kiasi cha vipande5 pia vina uwezo wa kuamsha hisia za mapenzi au tendo la ndoa kwa wanawake.
KOROSHO
Nazo zinatajwa ni nzuri sana kwa kumuongezea mwanamke hamu ya kufanya tendo la ndoa akiwa ni mwenye kuzila mara kwa mara
Ukiwa na Shida yoyote ile unaweza kunitafuta Kwa Mawasiliano bonyeza hapa.
Kwa mawasiliano;
Herbalist Dr.MziziMkavu
Barua pepe: fewgoodman@hotmail.com
Simu (Whatsapp) na Viber +90 534 450 8169
View attachment 341938 View attachment 341937 View attachment 341939