Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza kweli kunya maji?
Asali vijiko viwili vya chakula, Lozi (badam)za kusaga vijiko viwili, maziwa fresh ya ng'ombe glass moja. Changanya hivyo vitu pamoja, kunywa kila siku kabla ya kulala.
Baada ya siku 40 utamshinda Rostam Aziz (the most intelligent person in Tanzania) kwa akili.
Zinapatikana kwenye Supermarkerts au ukienda ule mtaa wa kisutu wanakouza matunda wahindi wengi huwa wananunua paleBlueberries kwa kiswahili nini na pia kama hapa DSM yanapatikana wapi
Aisee hii imetulia KataviNanasi pia inasaidia, hii niliipata kwa mwalimu wangu wa chuo!!
Kula blue berry au matunda yoyote ya jamii ya berry...
Thanks sana mr.Hussein Mlangwa.maandalizi ya kupata mtoto mwenye akili yanaanza kwenye kuchagua mchumba,kisha baada ya ndoa kujenga maelewano mazuri yenye mapenzi na kuzidisha zaidi siku ambazo zinauwezekano wa kupata uja uzito (nataraji unaelewa) kisha endeleza mapenzi mpaka kujifungua. Watakuongezea na wengine machache niliyoyaacha.