Mlishe mama nganoHabari,
mke wangu ni mjamzito wa miezi mitatu sasa, naomba kujua jinsi ya kumfanya azae mtoto mwenye akili sana, kwan najua wahindi wana utamaduni wao wanafanyaga kuongeza uwezo wa akili ya mtoto kuanzia ktk hatua za ujauzito,
Ni nini kinatakiwa kufanywa katika hatua gan,
Naomba kujulishwa,
Naomba waliokuwa wastarabu zaidi wajibu, wale wanadhihaki wanyamaze tafadhali.
Vipi unataka ukamnunulie mkulu wa kaya!?Mkuu hii omega 3 ni kwa ubongo unaokua au hata mtu mzima anaweza kumeza ubongo ufanye kazi vizuri?
asante mkuuUjumbe mzuri
karibu tena mkuuAsante mkuu
asanteNzuri hiyo..ifike mbali
huwa hulali au unalala sanaNamba 8 imenigusa saaana[emoji1321]
Mafuta ya samaki, ndo yanasaidia .. watu wanaopenda kula vichwa vya samaki wana uwezo mkubwa wa kukumbuka.Nimepata kusikia kwamba Samaki wa Ziwa Victoria, wanasaidia Bongo kufanya kazi vyema