Won mawila
Member
- Mar 7, 2019
- 83
- 56
- Thread starter
- #21
Kwanini funguka mkuudah tanzania kuna watu waajabu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini funguka mkuudah tanzania kuna watu waajabu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kunywa chibuku, taputapu, na ule makongoro, chips dume, kitimoto, halafu uwe unakula denda na mademu wa kujiuza kwa buku 2.Habar wakuu
Hivi ni vyakula vya aina gani nivitumie nipate kitambi kidogo hata cha kuzugia msaada tafadhari.
Watu tunatafuta six pack wewe unalilia mimba kweli Dunia hadaaHabar wakuu
Hivi ni vyakula vya aina gani nivitumie nipate kitambi kidogo hata cha kuzugia msaada tafadhari.
Mm nimehangaika kwa miezi 3 kukata tumbo kuna mtu anakihitaji? Loh....Duniani tabu tupu. Wakati watu wanaagaika kutoa vitambi vyao na kuna wengine wanavitafuta kwa nguvu.
Asante mkuuKula vyakula vyenye wanga na sukari ya kutosha
Dunia hii ya kushangaza
Nitaifanyia kazi coment yako pia nilishawai kusikia kuhusu hiliKitimoto na bia plus wali wa kutosha
Sent using Jamii Forums mobile app
Thanks pia ntajipa muda wa kutosha wakupumzika.Tumia chips zenye mayonnaise, nyama choma na bia ndani ya wiki utakua na tumbo kubwa la kutosha
Ndiyo maajabu ya dunia hayo mkuu. Ukipata njia ya kukikata unijuze pia 😀😀Mm nimehangaika kwa miezi 3 kukata tumbo kuna mtu anakihitaji? Loh....
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee kaza na mazoezi jogging seriously kimbia km 2 asbh jioni pia nimefanya hivyo ss hv kila mtu anauliza nimefanyaje kukata tumbo lkn pia nimepunguza sana kula wanga na portion ya chakula!!Ndiyo maajabu ya dunia hayo mkuu. Ukipata njia ya kukikata unijuze pia 😀😀
Kula vyakula vyote vinavyotokana na nafaka yaani wanga kwa wingi.Habar wakuu
Hivi ni vyakula vya aina gani nivitumie nipate kitambi kidogo hata cha kuzugia msaada tafadhari.