Vyakula vinavyosababisha kitambi

Vyakula vinavyosababisha kitambi

Habar wakuu

Hivi ni vyakula vya aina gani nivitumie nipate kitambi kidogo hata cha kuzugia msaada tafadhari.
Kunywa chibuku, taputapu, na ule makongoro, chips dume, kitimoto, halafu uwe unakula denda na mademu wa kujiuza kwa buku 2.
 
Kula vyakula vyenye wanga na sukari ya kutosha
 
1. Chai yako kila siku iwe ni uji uliowekwa amira ya kutosha

2. Mchana ugali maharage

3. Usiku maharage yaliyobaki mchana kula peke yake bila chakula kingine baada ya mwezi njoo utoe ushuhuda
 
Tumia chips zenye mayonnaise, nyama choma na bia ndani ya wiki utakua na tumbo kubwa la kutosha
 
Ndiyo maajabu ya dunia hayo mkuu. Ukipata njia ya kukikata unijuze pia 😀😀
Mzee kaza na mazoezi jogging seriously kimbia km 2 asbh jioni pia nimefanya hivyo ss hv kila mtu anauliza nimefanyaje kukata tumbo lkn pia nimepunguza sana kula wanga na portion ya chakula!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weka bili ya supu tu mwezi hauishi kitumbo ndii

Tunda la roho ni upendo
 
Fanya hivi. Kula ugali mkubwa sana na nyama choma au samaki wa kukaanga wa kulumangia na kachumbari. Jioni kula wali mwingi, hakikisha kipimo chako cha chakula kinaongezeka kidogo.

Asubuhi kula vizuri. Piga supu na vyapati vingi na hakikisha unakunywa maji ya kutosha. Hakikisha hujisikii njaa wakati wote.

Kama ni mkristo kula nguruwena bia atleast bia 2 nzito. Yaani zenye ule uzito wa yale maji....kama vile Castle Milk Stout.

Njoo hapa baada ya mwezi.
 
Habar wakuu

Hivi ni vyakula vya aina gani nivitumie nipate kitambi kidogo hata cha kuzugia msaada tafadhari.
Kula vyakula vyote vinavyotokana na nafaka yaani wanga kwa wingi.
Kwa kifupi kula mawali-wali na maugali asubuhi, mchana,jioni na usiku non stop.

Siku ukionyesha undugai kitandani kwasababu ya kitambi urudi tena hapa nitakupa maelekezo ya kukitoa kitambi hicho kwa muda mfupi sana hadi usingiziwe una ngoma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom