stabilityman
JF-Expert Member
- Jul 9, 2024
- 857
- 1,810
Ninyi ni kama mmetumwa kuharibu nyuzi bora za humu kama unaona kitu hakikufai si unaachana nacho tu mazee shida nini..Kwel umebadilika sana chizi maarifa uko nyuma ukua hvyo
Tuliza kalio hapo nimeharibu wapi na namsifia kwa kubadilikaNinyi ni kama mmetumwa kuharibu nyuzi bora za humu kama unaona kitu hakikufai si unaachana nacho tu mazee shida nini..
Mtu anajitolea anatupa madini ya kuwa na afya bora unakuja kushika yeyote kama umetumwa vile..
Sio Chizi maarifa huyo mazee nyuzi zake si ndio kama haya maandishi yako..Tuliza kalio hapo nimeharibu wapi na namsifia kwa kubadilika
Ni yeyeSio Chizi maarifa huyo mazee nyuzi zake si ndio kama haya maandishi yako..