Vyakula vinavyotibu cancer vipo kwenye vitabu vya Dr' Sebi

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1578766318411.png

1578766331774.png

1578766348175.png

Unaweza kuvipata kupitia Amazon
 
Haya mambo nilliaza ambiwa na jamaa yangu Mcameroon flan kasoma haya mambo hadi anakaribia kuwa chizi ananiambia usile kitu chochote kisichokuwa na mbegu ndani maana ni artificial. Ananiambia sijui nile vyakula gani ili mwilli uwe alkaline virusi na cancer na wadudu hawawezi survive.
Hali mihogo hali viazi yani hali kitu chochote kisichokuwa na mbegu.
 
Kuna video za Dr Sebi alisema starch + protein ni sumu kubwa mwilini. Hivyo ukipikiwa wali wa nazi na nyama ya ng'ombe au ugali nyama choma ni kaburi hilo.
 
so kama unakula ule proteins pekee au kama ni starch ule starch pekee? Jamaa naona anatazamasana video za jamaa ila jamaa karibia anadata anatazama na videos sijui za jamaa gani anaitwa sijui novel garden kitu kama hicho anaeleza bible in a different way
 
Samahan huyo doctor ni mzungu ama? Na je yupo bado?
Shirika la afya la dunia linasemaje kuhusu hoja zake za vyakula fulani kutibu virusi?
Je vitabu vyake vinatafsirika?
Na hivyo vyakula katika hali ya kawaida vinapatikana?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alizaliwa Horrendous, sasa hivi ni marehemu, vyakula vyake vingi ni hivi tunavyoviona kila siku, kwa mfano nyanya anazo zikubali ni zile nyanya ndogo ndogo sana, asali mbichi, nk.
 
Samahan huyo doctor ni mzungu ama? Na je yupo bado?
Shirika la afya la dunia linasemaje kuhusu hoja zake za vyakula fulani kutibu virusi?
Je vitabu vyake vinatafsirika?
Na hivyo vyakula katika hali ya kawaida vinapatikana?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mtu mweusi alipona ukimwi,cancer na uhanidhi.Angalia video zake you tube utafaidika Sana kwa Mimi zimenisaidia Sana hasahasa vidonda vya tumbo kwa Sasa Niko fresh kabisa .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dr. Ssebi alikua mtu muhimu sana

Sent from my iPhone using JamiiForums
Ndio mana walimsumbua hadi kumfunga na hatimaye alifariki, wazungu wanajua kua hawataki mfahamu haya mambo wao wanataka muendelee kunywa ma hennesy, ma wisky na mapombe huku mkijazia na machipsi maburger, ma kuku wa kfc, yani mle tu ndio mupate hayo makansa na makisukari mshindwe kutibu muanze madozi ya mionzi na upuuzi mwingine ili muzidi kujimaliza but ukweli ndio huu kwamba haya mavyakula ndio maugonjwa yenyewe na dr sebi aligundua hayo yote na nashukur Mungu nimeshtuka mapema.

Endelea kushusha nondo mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom