Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Hayo si mambo yenye kufaa kwa afya na vema ukabadilika.My favourite food ni nyama choma nusu kilo yenye maftafta na ugali na sukuma wiki plus kachumbari. Nikitoka hapo niletee juice inayoitwa castle lite ya briid kuanzia 16 had 27. Mhudumu awe anavutia
Ukikosa maarifa na uwezo wa kufikiri nje ya box matokeo yake ndiyo haya!
Huyu mzee nilikuwa nasoma makala zake gazeti la mwananchi. Japo siku hizi najiona niko bize na maisha kiasi cha kukosa makala zake nyingi. Ila anaelimisha sana.Katika vitu namshukuru sana mama yangu na mshua, japo mshua alikua miyeyusho kwenye mambo mengine, ni masuala mazima ya afya. Sijawahi kuwasikia hawa wazee wakilalamika kabisa magonjwa mpaka uzee wao kwa kufuata hizi taratibu
Nakumbuka mwaka 2001 ndipo formula mpya home za ulaji zilichukua ukurasa. Japo, sifuati exactly kama wao kutokana pia na changamoto za kimaisha lakini angalau nina mambo mengi aidha naacha au nauhuisha mwili wangu kwa kufuata kanuni hizo.
Kuna mzee pia anaitwa Fredrick Macha - huyu ni mtanzania anaishi London. Ana mambo mengi sana yenye kufundisha kwa masuala mazima ya afya na mazoezi. Ni vile tu watz tubapenda kufuatilia upuuzi na mambo yenye kupumbaza fikra. Youtube channel yake anaweka mambo ya maana sana na yenye kufaa lakini hakuna watazamaji. Na ninachompenda si mchoyo na haoni tabu kutoa muda wake kuelekeza jambo kama ukiweza kumuandikia. Mimi huwasiliana sana kwa WhatsApp na nikapata kumuuliza chungu nzima ya maswali.
Well said! What else can I do? I just nodd & clap my hands. Umeandika fact!Mleta mada.
Kwanza hongera kwa kuleta uzi huu humu ndani pia Mkuu pole sana kwa kuwa kuna watu wanabeza kile ulicholeta pamoja na Dr Sebi.
Niwe mkweli kuwa huyu jamaa sikumjua kabla, niliwahi kumsikia mwaka jana 2019 ila nikamsoma kidogo kisha nikamuacha.
Tukija upande wa cancer naona watu wanazungumza tu ila ndio ugonjwa unaoongoza kuwa mkali kwa kumaliza watu Tanzania, kama haishiki nafasi ya kwanza basi ya pili.
Wapumbavu wanapinga hoja ya vyakula ila wamtafute oncologist(Daktari Bingwa wa Kansa) yeyote yule aulizwe njia ya kuepuka kansa ni ipi? Majibu ya mwanzoni yatakuwa ni haya ...
1. Kula matunda mara kwa mara
2. Kula mboga za majani
Ninachoweza kusema na kuamini ni kuwa Mungu ametupa matibabu hapa hapa chini ya ardhi, mwanadamu ameumbwa kwa udongo, nadhani hata matibabu yake yanatoka hapo kwa sehemu kubwa.
Hii kansa ni moja ya biashara kubwa saana kulimwenguni, japo huwezi kuifananisha na AIDS.
Kuhusu cancer tu wanakataa baadhi ya facts, ukija kuwaletea biashara ya HIV si watakuona kichaa.
Uhalisia wa mambo tunayofahamu ni tofauti na uhalisia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni raia wa Honduras alifariki akiwa na umri wa miaka 82 august 16 2016 kwa ugonjwa wa (pneumonia)Samahan huyo doctor ni mzungu ama? Na je yupo bado?
Shirika la afya la dunia linasemaje kuhusu hoja zake za vyakula fulani kutibu virusi?
Je vitabu vyake vinatafsirika?
Na hivyo vyakula katika hali ya kawaida vinapatikana?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unafahamu kuwa matango yale ya salad (cucumber) pia ni mazuri kwa tezi dume. Kula angalau 1 kila siku.Ukiwa unasumbuliwa na tezi dume hasa ikiwa katika hatua za mwanzo tumia tangawizi iliyowekwa maji ya limau na uinywe katika maji ya vugu vugu kila siku asubuhi glasi moja utaona mabadiliko ya haraka sana au tafuna mbegu ya maboga yaliyokauka na kukaangwa kila siku kwa muda wa wiki mbili utaona tofauti kubwa. Hii ni mojawapo ya kansa inayotutesa sisi Wazee.
Huyu mzee nilikuwa nasoma makala zake gazeti la mwananchi. Japo siku hizi najiona niko bize na maisha kiasi cha kukosa makala zake nyingi. Ila anaelimisha sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, sio lazima kila mtu ajue wewe ni mjinga kiasi gani.Mi nilidhani hajafa kisa hajala sumu, nyie watu emu acheni ujinga hivi aliyeumba chakula hakuwa na uelewa kuliko huyo mzushi? Kifo kipo tu kimeshawekwa basi kila nafsi itaonja, kwani nisipokufa kwa kansa ndio itakuwa sifi tena? Tusichoshane
Aliipenda sana Tanzania, hata katika mafundisho yake siku moja alisema “kaka zangu Wamasai kule Tanzania hawatanielewa nikisema nyama nyekundu ni sumu inayoua taratibu.”.Rais Kikwete alienda onana nae na mahojiano yake ya mwisho aliplan kuja Tanzania lakini kifo kikamtangulia.
Inasemekana lakini mkwere alitibiwa kwake....tetesi
Ndio akampa offer akuje TZ
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa tuleje dada yangu itabidi watu wote watuweke bording wawe wanatupikiaKuna video za Dr Sebi alisema starch + protein ni sumu kubwa mwilini. Hivyo ukipikiwa wali wa nazi na nyama ya ng'ombe au ugali nyama choma ni kaburi hilo.
Aliipenda sana Tanzania, hata katika mafundisho yake siku moja alisema “kaka zangu Wamasai kule Tanzania hawatanielewa nikisema nyama nyekundu ni sumu inayoua taratibu.”.
Mkuu aliwahipo kuzungumzia upara kuutibu ?Unafahamu kuwa matango yale ya salad (cucumber) pia ni mazuri kwa tezi dume. Kula angalau 1 kila siku.
View attachment 1320071
View attachment 1320073
View attachment 1320074
Unaweza kuvipata kupitia Amazon
Alizaliwa Horrendous, sasa hivi ni marehemu, vyakula vyake vingi ni hivi tunavyoviona kila siku, kwa mfano nyanya anazo zikubali ni zile nyanya ndogo ndogo sana, asali mbichi, nk.
Kuna wavutaji wa sigara wanaishi miaka 100 bila cancer wala COPD hii haifanyi sigara kutokuwa na madhara.Kwa nini alikufa?Hawa wanaokula wali Nyama mbona wanaishi miaka mia?
Sent using Jamii Forums mobile app