Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Yote hayo ni kujihangaisha tu.Alizaliwa Horrendous, sasa hivi ni marehemu, vyakula vyake vingi ni hivi tunavyoviona kila siku, kwa mfano nyanya anazo zikubali ni zile nyanya ndogo ndogo sana, asali mbichi, nk.
Kwa hiyo kila kimoja wapo kinanatakiwa kuliwa kivyake?digestion ya nyama inzalisha acid ikichanganyika na wanga si vitu vizuri sana katika mwili wako.
Huna akili wewe , zezeta kabisaPamoja kufuatilia kote hayo mamsosi na bado akafa!? Akili mukichwa
Unabishana na mapunguani, waache waendelee kula pombe, sigara, wali kwa kwenda mbele , halafu watayaona matokeoTechnically alinyimwa dawa zake akiwa mahabusu na yeye aligoma kutumia dawa za mzungu.
Unakula chakula aina gani?Ndio mana walimsumbua hadi kumfunga na hatimaye alifariki, wazungu wanajua kua hawataki mfahamu haya mambo wao wanataka muendelee kunywa ma hennesy, ma wisky na mapombe huku mkijazia na machipsi maburger, ma kuku wa kfc, yani mle tu ndio mupate hayo makansa na makisukari mshindwe kutibu muanze madozi ya mionzi na upuuzi mwingine ili muzidi kujimaliza but ukweli ndio huu kwamba haya mavyakula ndio maugonjwa yenyewe na dr sebi aligundua hayo yote na nashukur Mungu nimeshtuka mapema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ameacha kufuga Rasta?Ewaaa, hujakosea!
Ni ana fani nyingi: martial artist, musician, masseur, health enthusiast, educationalist na mtaalam wa masuala ya ushairi na uandishi pia. Amenifunza mengi sana huyu mzee kijana. Yupo fit sana kuzidi vijana.
Mwanangu ukimaliza huu mlo ulale peke yako.
Hahaha siku hizi ni bald headed. Ashakua babu.