Vyakula vya kuboresha sehemu za Siri za mwanamke na kuongeza ubora WA tendo la ndoa

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
27,031
Reaction score
49,928
Nasikia hakuna kitu kizuri kama sex .japo. Me mgeni kwenye mambo haya mjini hapa.japo kwa wenyeji jijini Maneno hayo wameyazoea hapa jijini.
Kuna umri ukifika inatakiwa uangalie unakulaje.mwanamke unaweza ukajikuta unatembea na jangwa la Kalahari huko chini .na hii nchi ngamia hakuna bamia hazikai jangwani utabaki mwenyewe huko

Kama uko 35 na kuendelea
Pendelea Sana Kula bamia na parachichi
Yaani kwa week siku 5 Kula bamia mbichi ,zilipopikwa wewe Kula Tu
Pia kuna haya majani kwenye picha nayo saga kunywa juice yake sana sana.ila ukizidisha ataishia kuvaa pedi maana ni full kulowana.
 

Attachments

  • IMG_20241201_142429.jpg
    449 KB · Views: 7
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…