Vyakula vya mafuta ni chanzo cha kukukosesha usingizi

Vyakula vya mafuta ni chanzo cha kukukosesha usingizi

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
baga.jpg

Tumekuwa tukipokea maoni toka kwa watu wengi juu ya matatizo ya kukosa usingizi, ingawa kuna

sababu nyingi zinazoweza kukufanya ukose usingizi kama magonjwa nk, ila mlo nao ni moja ya

sababu hizo.Na moja ya vyakula hivi ni vile vyenye mafuta (fat) mengi kama burger, chipsi nk.

Tafiti zinaonesha kuwa, vyakula hivi sio tu hukufanya uongezeke uzito bali pia huabiri mfumo wa kulala.

Tafiti zinaendelea kuwa, vyakula hivi vizito huamsha mfumo wa usagaji vyakula (digestion system)

na kuifanya ianze kufanya kazi, hii hukupelekea mwili wako kuwa hai na pia hukufanya mara nyingi

kujisikia kwenda haja hivyo kukukosesha
usingizi.


Hivyo basi epuka kula mlo wenye wanga mwingi wakati wa usiku au angalau kwa masaa mawili kabla ya kwenda kulala.DONDOO: Vyakula vya mafuta ni chanzo cha kukukosesha usingizi
 
Nashukuru mkuu miye nimeshaachana navyo vyakula vya aina hiyo, nina uzito wa kilo 125 nataka nipunguze 25 nimeacha kula vyakula vya mafuta kabisa.
 
Back
Top Bottom