NZURI PESA
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 5,958
- 2,954
mkuu mpishi wako hajitambui! tena sikuhizi ujuzi ndo umeongezeka iweje usisikie harufu?Wakuu najua mko poa,
Yaani vyakula vya siku hizi havina harufu kabisa. Miaka ya nyuma kipikwe kitu cha wali hadi mtaa wa 7 utakisikia tu, lakini sasa hivi hata kipikwe hapo hutosikia harufu yake na hata mdomoni hauna ladha kivile.
Wajameni kulikoni harufu na ladha ya vyakula haipo siku hizi ????
Kote huko vijijini walimaji wanatumia mbolea za mchina unategemea nini?sasa hivi parachichi la mbeya dogo dogo km kitunguu wanaita ya kisasa.Mbatata kwa roast ya nyama ilikuwa habari kubwa ,ila sikuhizi hamna kitu hata ndondo la nazii linakosa ladha siku hizi unatafuna karoto hamna kitu!mapapai embe dodo mastafeli mayai kuku shida tupu
Hataree mkuu! Zamani punga jipya likipikwa unasikilizia mtaa wa tatu hiyo harufu lakini siku ukiwa sebuleni ya jikoni huyajui!Kote huko vijijini walimaji wanatumia mbolea za mchina unategemea nini?sasa hivi parachichi la mbeya dogo dogo km kitunguu wanaita ya kisasa.
Mku hata zamani hizo mambo zipo ila sikuhuzi majanga hadi tangawizi haiwashi siku hizi unakunywa tangawizi kama appke juice tu sasa hakuna ile ukimaliza kikombe na kijasho juuHapa ndio utajua umuhimu wa kuweka viungo kama vile mdalasini, uzile {bizari nzima}, pilipili manga {pilipili mtama}, hiliki na pilau masala kwenye chakula
Mabadiliko ni kitu cha kawaida, maana nakumbuka zamani nilikuwa nikijihisi homa nakunywa mwarobaini na ulikuwa mchungu balaa, lakini mwarobaini wa sahv umepooza kabisa.Mku hata zamani hizo mambo zipo ila sikuhuzi majanga hadi tangawizi haiwashi siku hizi unakunywa tangawizi kama appke juice tu sasa hakuna ile ukimaliza kikombe na kijasho juu
Hahaha jmn tangawizi isowasha inapatikana wapi?Mku hata zamani hizo mambo zipo ila sikuhuzi majanga hadi tangawizi haiwashi siku hizi unakunywa tangawizi kama appke juice tu sasa hakuna ile ukimaliza kikombe na kijasho juu
Nenda zenj unakunywa tanagawiz ya high concentation kama soda ya sparleta or stoney tangawiziHahaha jmn tangawizi isowasha inapatikana wapi?
[emoji3] au wanatia maji mengiNenda zenj unakunywa tanagawiz ya high concentation kama soda ya sparleta or stoney tangawizi
No i mean unaenda kununua raw tangawizi una prepare mwenyewe kila kitu at the end unakunywa sparleta badala ya tangawizi ile ya kukutoa kijasho kwa ukali![emoji3] au wanatia maji mengi