NZURI PESA
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 5,958
- 2,954
mkuu mpishi wako hajitambui! tena sikuhizi ujuzi ndo umeongezeka iweje usisikie harufu?Wakuu najua mko poa,
Yaani vyakula vya siku hizi havina harufu kabisa. Miaka ya nyuma kipikwe kitu cha wali hadi mtaa wa 7 utakisikia tu, lakini sasa hivi hata kipikwe hapo hutosikia harufu yake na hata mdomoni hauna ladha kivile.
Wajameni kulikoni harufu na ladha ya vyakula haipo siku hizi ????