Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbatata kwa roast ya nyama ilikuwa habari kubwa ,ila sikuhizi hamna kitu hata ndondo la nazii linakosa ladha siku hizi unatafuna karoto hamna kitu!mapapai embe dodo mastafeli mayai kuku shida tupuMia kabisa mleta uzi.
Kwa sasa vyakula vingi havina harufu wala ladha mdomoni.
Mimi kipindi nakua nilikuwa mpenzi sana wa viazi mbatata vya kuchemsha na nilichokuwa napenda ni ile ladha yake pamoja na unga unga fulani hivi(sio amaizingi!)...Kwa sasa nimeacha huo mlo,viazi havina ladha na havina ule unga unga baada ya kuchemshwa.Kwa sasa ukichemsha kiazi kinakuwa kama kimelowekwa,kikwetu tunaita "vichelema".
HaswaaVyakula vingi vya dar havina ladha ila ukiwa mkoani vikapikwa fresh vina taste aisee. Pia sikuhizi kuna michakachuo ya misosi. Wali uwe mtamu upikwe na mkaa.
. Vinawekwa wekwa madawa mno
. Vinahifadhiwa kwenye friji, mabarafu ladha inaisha tofauti na zile njia za asili asili nyama inabanikwa au inakaushwa kwa chumvi
Afu pia kupikia kwenye gas napo kunapunguza utamu wa chakula, kitu cha kuni bana yani wali uliopikwa kwa kuni hata uwe mbaya lazma una ladha nzuri, sahivi Mara vi gas, mara vi rice cooker,sijui pressure cooker
Sema la ukweli nimezunguka maeneo mengi sio kama nafagilia sijawahi oma mikate mitamu kama mikate fulani hivi inatengenezwa Arusha kweli huishi kuila kuna mingine ya njano uupate wa moto moto na ile meupe weka mbali na watoto hii huku najionea ipo ipo tu
Zamani wali ukipikwa tunaoga mapema na kuimba siku hizi tumeuzoea ndio tofautiWakuu najua mko poa,
Yaani vyakula vya siku hizi havina harufu kabisa. Miaka ya nyuma kipikwe kitu cha wali hadi mtaa wa 7 utakisikia tu, lakini sasa hivi hata kipikwe hapo hutosikia harufu yake na hata mdomoni hauna ladha kivile.
Wajameni kulikoni harufu na ladha ya vyakula haipo siku hizi ????
Zamani wali ukipikwa tunaoga mapema tunaimba hatu sinzii siku hizi tumeuzoeaWakuu najua mko poa,
Yaani vyakula vya siku hizi havina harufu kabisa. Miaka ya nyuma kipikwe kitu cha wali hadi mtaa wa 7 utakisikia tu, lakini sasa hivi hata kipikwe hapo hutosikia harufu yake na hata mdomoni hauna ladha kivile.
Wajameni kulikoni harufu na ladha ya vyakula haipo siku hizi ????
. Vinawekwa wekwa madawa mno
. Vinahifadhiwa kwenye friji, mabarafu ladha inaisha tofauti na zile njia za asili asili nyama inabanikwa au inakaushwa kwa chumvi
Afu pia kupikia kwenye gas napo kunapunguza utamu wa chakula, kitu cha kuni bana yani wali uliopikwa kwa kuni hata uwe mbaya lazma una ladha nzuri, sahivi Mara vi gas, mara vi rice cooker,sijui pressure cooker
Unantia hamu sheikh (in sheikh kipozeo voice)
Pua zako zitakuwa zimekufa mkuu!
Wakuu najua mko poa,