Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Vyama vya siasa kumi na vinne (14) nchini vimeungana kuhakikisha vinaitoa CCM madarakani katika uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu 2025.
Katika taarifa yao waliyoitoa Jumapili Juni 1.2025 jijini Dodoma kwa waandishi wa habari, Uongozi wa Vyama hivyo umesema unasubiri ratiba za mikutano mikuu ya vyama vyote ikamilike ili wapate muafaka ikiwa watatumia mfumo wa kumsimamisha mgombea mmoja wa nafasi ya urais ama vinginevyo.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Ikumbukwe baada ya zoezi la utiaji saini kanuni za maadili ya uchaguzi mkuu INEC ilivitangaza vyama kumi vinane vilivyoshiriki zoezi hilo ndivyo vyenye sifa ya kushiriki Uchaguzi mkuu mwaka huu hivyo basi vyama pekee ambavyo havipo kwenye muungano huo ni ADC, CHAUMMA,ACT Wazalendo na CCM .