PreGE2025 Vyama 14 Vyaungana kuiondoa CCM madarakani Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025

PreGE2025 Vyama 14 Vyaungana kuiondoa CCM madarakani Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kweli kabisa mzee ujue huku kutekana na kuuana sio ustaarabu kabisaaa
Gentleman,
hizo ni dhana potofu, stori na porojo za pata potea za ambao hawana hoja za maendeleo na waliopoteza uelekeo kisiasa.

na ndio maana hata hiyo drama sio kitu ambayo inawafanya wananchi kushawishiwa na kujiunga na vyama vya siasa visivyo na hoja 🐒
 
fogoh2 Fala ni wewe pamoja na ukoo wako usituweke kwenye mkumbo wako watz wote!
 
Mitanzania kama mifala,mshaambiwa hata muungane vyama milioni kama hakuna reform mkurugenzi atamtangaza ccm ndio mshindi hata kama kapata kura sifuri ,sujui wapi msipolewa
Inasilitisha kwa kweli, sawa sawa na watumwa 1000 na mwarabu mmoja mwenye gobore
 
SI
Kila chama kina utaratibu wake na mbinu zake,, kama nyie na kampeni zenu uchwara za ma no no msitake wengne wafuate upuuzi wenu..
Ma no no yenu siyo sera ya taifa ndiyo maana kila chama kipo bize na mbinu zake.
Ajabu na wewe una amini kwamba samiq suluhu Hassan. Raisi wa JMT naye ana PhD???
Mtu anaongea kama yupo kwe kitchen party?
 
Hawawezi kuungana kumwondoa mfadhili wao.

No reforms no election.
 
Vyama vya siasa kumi na vinne (14) nchini vimeungana kuhakikisha vinaitoa CCM madarakani katika uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu 2025.

Katika taarifa yao waliyoitoa Jumapili Juni 1.2025 jijini Dodoma kwa waandishi wa habari, Uongozi wa Vyama hivyo umesema unasubiri ratiba za mikutano mikuu ya vyama vyote ikamilike ili wapate muafaka ikiwa watatumia mfumo wa kumsimamisha mgombea mmoja wa nafasi ya urais ama vinginevyo.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Ikumbukwe baada ya zoezi la utiaji saini kanuni za maadili ya uchaguzi mkuu INEC ilivitangaza vyama kumi vinane vilivyoshiriki zoezi hilo ndivyo vyenye sifa ya kushiriki Uchaguzi mkuu mwaka huu hivyo basi vyama pekee ambavyo havipo kwenye muungano huo ni ADC, CHAUMMA,ACT Wazalendo na CCM .

Acha usenge, kwa tume ipi?
 
Ni sawa na Muungano wa Panya dhidi ya Paka!
Yaani matawi ya CCM yapambane ni Mfadhiri wake ambaye ni CCM yenyewe! How does it come?
 
Back
Top Bottom