Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
siasa za kistaarabu ni muhimu sana kwa ustawi wa demokrasia nchini 🐒Vyama vya siasa kumi na vinne (14) nchini vimeungana kuhakikisha vinaitoa CCM madarakani katika uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu 2025.
Katika taarifa yao waliyoitoa Jumapili Juni 1.2025 jijini Dodoma kwa waandishi wa habari, Uongozi wa Vyama hivyo umesema unasubiri ratiba za mikutano mikuu ya vyama vyote ikamilike ili wapate muafaka ikiwa watatumia mfumo wa kumsimamisha mgombea mmoja wa nafasi ya urais ama vinginevyo.
Ikumbukwe baada ya zoezi la utiaji saini kanuni za maadili ya uchaguzi mkuu INEC ilivitangaza vyama kumi vinane vilivyoshiriki zoezi hilo ndivyo vyenye sifa ya kushiriki Uchaguzi mkuu mwaka huu hivyo basi vyama pekee ambavyo havipo kwenye muungano huo ni ADC, CHAUMMA,ACT Wazalendo na CCM .
Vyama hiv hiv vya kwenye flashVyama vya siasa kumi na vinne (14) nchini vimeungana kuhakikisha vinaitoa CCM madarakani katika uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu 2025.
Katika taarifa yao waliyoitoa Jumapili Juni 1.2025 jijini Dodoma kwa waandishi wa habari, Uongozi wa Vyama hivyo umesema unasubiri ratiba za mikutano mikuu ya vyama vyote ikamilike ili wapate muafaka ikiwa watatumia mfumo wa kumsimamisha mgombea mmoja wa nafasi ya urais ama vinginevyo.
Ikumbukwe baada ya zoezi la utiaji saini kanuni za maadili ya uchaguzi mkuu INEC ilivitangaza vyama kumi vinane vilivyoshiriki zoezi hilo ndivyo vyenye sifa ya kushiriki Uchaguzi mkuu mwaka huu hivyo basi vyama pekee ambavyo havipo kwenye muungano huo ni ADC, CHAUMMA,ACT Wazalendo na CCM .
Kwa nini vinataka kumtoa mzazi wao madarakani??Vyama vya siasa kumi na vinne (14) nchini vimeungana kuhakikisha vinaitoa CCM madarakani katika uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu 2025.
Katika taarifa yao waliyoitoa Jumapili Juni 1.2025 jijini Dodoma kwa waandishi wa habari, Uongozi wa Vyama hivyo umesema unasubiri ratiba za mikutano mikuu ya vyama vyote ikamilike ili wapate muafaka ikiwa watatumia mfumo wa kumsimamisha mgombea mmoja wa nafasi ya urais ama vinginevyo.
Ikumbukwe baada ya zoezi la utiaji saini kanuni za maadili ya uchaguzi mkuu INEC ilivitangaza vyama kumi vinane vilivyoshiriki zoezi hilo ndivyo vyenye sifa ya kushiriki Uchaguzi mkuu mwaka huu hivyo basi vyama pekee ambavyo havipo kwenye muungano huo ni ADC, CHAUMMA,ACT Wazalendo na CCM .
Vyama vya siasa kumi na vinne (14) nchini vimeungana kuhakikisha vinaitoa CCM madarakani katika uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu 2025.
Katika taarifa yao waliyoitoa Jumapili Juni 1.2025 jijini Dodoma kwa waandishi wa habari, Uongozi wa Vyama hivyo umesema unasubiri ratiba za mikutano mikuu ya vyama vyote ikamilike ili wapate muafaka ikiwa watatumia mfumo wa kumsimamisha mgombea mmoja wa nafasi ya urais ama vinginevyo.
Ikumbukwe baada ya zoezi la utiaji saini kanuni za maadili ya uchaguzi mkuu INEC ilivitangaza vyama kumi vinane vilivyoshiriki zoezi hilo ndivyo vyenye sifa ya kushiriki Uchaguzi mkuu mwaka huu hivyo basi vyama pekee ambavyo havipo kwenye muungano huo ni ADC, CHAUMMA,ACT Wazalendo na CCM .
Nimesoma head line Tu lakini ukweli ni kwamba Kwa Sasa bado wanaishi na ndoto hiyo pengine labda baada ya miaka 100Vyama vya siasa kumi na vinne (14) nchini vimeungana kuhakikisha vinaitoa CCM madarakani katika uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu 2025.
Katika taarifa yao waliyoitoa Jumapili Juni 1.2025 jijini Dodoma kwa waandishi wa habari, Uongozi wa Vyama hivyo umesema unasubiri ratiba za mikutano mikuu ya vyama vyote ikamilike ili wapate muafaka ikiwa watatumia mfumo wa kumsimamisha mgombea mmoja wa nafasi ya urais ama vinginevyo.
Ikumbukwe baada ya zoezi la utiaji saini kanuni za maadili ya uchaguzi mkuu INEC ilivitangaza vyama kumi vinane vilivyoshiriki zoezi hilo ndivyo vyenye sifa ya kushiriki Uchaguzi mkuu mwaka huu hivyo basi vyama pekee ambavyo havipo kwenye muungano huo ni ADC, CHAUMMA,ACT Wazalendo na CCM .
Vyama vyenyewe viko wapi hapo? hao ni makada wa CCMNimesoma head line Tu lakini ukweli ni kwamba Kwa Sasa bado wanaishi na ndoto hiyo pengine labda baada ya miaka 100
Ni makada wa CCMHao si ndiyo waliotambulishwa Samia kama vyama rafiki wa CCM kwenye Mkutano wa CCM last weekend....!!!
Kila chama kina utaratibu wake na mbinu zake,, kama nyie na kampeni zenu uchwara za ma no no msitake wengne wafuate upuuzi wenu..Mitanzania kama mifala,mshaambiwa hata muungane vyama milioni kama hakuna reform mkurugenzi atamtangaza ccm ndio mshindi hata kama kapata kura sifuri ,sujui wapi msipolewa
Vyama vyenyewe ndio hivi akina Chaumma au kuna vingine zaidi ya hivyo mkuu? Nchi hii kuna vichekesho vingi sana. Ukifa kwa presha umejitakia mwenyewe.Vyama vya siasa kumi na vinne (14) nchini vimeungana kuhakikisha vinaitoa CCM madarakani katika uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu 2025.
Katika taarifa yao waliyoitoa Jumapili Juni 1.2025 jijini Dodoma kwa waandishi wa habari, Uongozi wa Vyama hivyo umesema unasubiri ratiba za mikutano mikuu ya vyama vyote ikamilike ili wapate muafaka ikiwa watatumia mfumo wa kumsimamisha mgombea mmoja wa nafasi ya urais ama vinginevyo.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Ikumbukwe baada ya zoezi la utiaji saini kanuni za maadili ya uchaguzi mkuu INEC ilivitangaza vyama kumi vinane vilivyoshiriki zoezi hilo ndivyo vyenye sifa ya kushiriki Uchaguzi mkuu mwaka huu hivyo basi vyama pekee ambavyo havipo kwenye muungano huo ni ADC, CHAUMMA,ACT Wazalendo na CCM .
Ona hii ng'ombeKila chama kina utaratibu wake na mbinu zake,, kama nyie na kampeni zenu uchwara za ma no no msitake wengne wafuate upuuzi wenu..
Ma no no yenu siyo sera ya taifa ndiyo maana kila chama kipo bize na mbinu zake.
Halafu mgombea wao ni Gwajima.Vyama vya siasa kumi na vinne (14) nchini vimeungana kuhakikisha vinaitoa CCM madarakani katika uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu 2025.
Katika taarifa yao waliyoitoa Jumapili Juni 1.2025 jijini Dodoma kwa waandishi wa habari, Uongozi wa Vyama hivyo umesema unasubiri ratiba za mikutano mikuu ya vyama vyote ikamilike ili wapate muafaka ikiwa watatumia mfumo wa kumsimamisha mgombea mmoja wa nafasi ya urais ama vinginevyo.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Ikumbukwe baada ya zoezi la utiaji saini kanuni za maadili ya uchaguzi mkuu INEC ilivitangaza vyama kumi vinane vilivyoshiriki zoezi hilo ndivyo vyenye sifa ya kushiriki Uchaguzi mkuu mwaka huu hivyo basi vyama pekee ambavyo havipo kwenye muungano huo ni ADC, CHAUMMA,ACT Wazalendo na CCM .
Kweli kabisa mzee ujue huku kutekana na kuuana sio ustaarabu kabisaaasiasa za kistaarabu ni muhimu sana kwa ustawi wa demokrasia nchini 🐒
Wanaelewa sana muundo, lakin wenye kuwatoa hapo ni wengineTatizo kubwa nchini:*Viongozi wa vyama vya siasa walio wengi,hawajawahi kujifunza muundo wa CCM na serikali
Na Kuna uwezekano mkubwa sana hawaujui huo muundo.
Ndio sababu,wanalala wanaota kuiondoa CCM madarakani!!
Haiwezekani 100%.*
Mkitaka kufanikiwa ongeeni vizuri na CDF.
Matusi ndo mlichobaki nacho!Ona hii ng'ombe