hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 7,235
- 7,392
Mchango GaniVyama bandia si neno zuri sana,ila wapime mchango wao katika kuleta demokrasia nchini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchango GaniVyama bandia si neno zuri sana,ila wapime mchango wao katika kuleta demokrasia nchini
Wasitupigie kelele hao ni vibaraka wa CCMVyama 8 vimemtaka mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe kuomba msamaha kufuatia kauli aliyotoa hivi karibuni kuwa vyama vingine ni vyama bandia.
Vyama hivyo vimesema Mbowe amevidhalilisha na amevunja sheria na huku vyama hivi vimesajiliwa kama kilivyosajiliwa CHADEMA...
Hivi vyama ata viongozi hawajulikan vinajitokeza kipind cha uchaguz na vya kimagumashi tuVyama 8 vimemtaka mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe kuomba msamaha kufuatia kauli aliyotoa hivi karibuni kuwa vyama vingine ni vyama bandia...
KabisaaWasitupigie kelele hao ni vibaraka wa CCM
Kwani uongo vyama vinaoneka kila baada ya miaka mitano kama sunamiVyama 8 vimemtaka mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe kuomba msamaha kufuatia kauli aliyotoa hivi karibuni kuwa vyama vingine ni vyama bandia...
wana mchango gani hao walamba miguu ya MaguVyama bandia si neno zuri sana, ila wapime mchango wao katika kuleta demokrasia nchini
Yawezekana mkawa na uhalali wa kisheria lakini bado mkawa bandia! Kwa miaka zaidi ya 25 bado hamjapata mbunge hata mmoja wala madiwani mnapata wapi uhalali wa kisiasa kama siyo kutumika tu!Vyama 8 vimemtaka mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe kuomba msamaha kufuatia kauli aliyotoa hivi karibuni kuwa vyama vingine ni vyama bandia...
Vingine mamluki,uongo?au mpaka tuvitaje kwa majina,wenyewe wanajifahamu.Vyama 8 vimemtaka mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe kuomba msamaha kufuatia kauli aliyotoa hivi karibuni kuwa vyama vingine ni vyama bandia...
Subiri October 28 chadema mkose wabunge na madiwani halafu uje na huo ushauri vyama vipi vibakie
Vyama vya mfukoniVyama 8 vimemtaka mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe kuomba msamaha kufuatia kauli aliyotoa hivi karibuni kuwa vyama vingine ni vyama bandia...
Hovyo ni vijiwe vya kupanga mikakati yakukutana na wala nchiVyama 8 vimemtaka Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe kuomba msamaha kufuatia kauli aliyotoa hivi karibuni kuwa vyama vingine ni vyama bandia....
Umetoa elimu kubwa na nzuri sana ila sasa unaowapa elimu hawaelimikiAsipoomba radhi ni dhahiri CHADEMA viongozi wake waishi kwa jina la chama. Haihitaji elimu ya siasa kutabiri athari ya kauli hiyo wakati huu wa uchaguzi.
Kwamba hata wagombea wa chama badala ya kunadi Sera wanawashambulia kwa kuwadharilisha wagombea wa vyama vya siasa. Hili likuwa halali wakati wa mfumo wa chama kimoja (Sera, Itikadi na Imani na ya chama kimoja). Katika mfumo huo mshindi ni yule aliyeweza kujisifia na kumponda mwenzake.
Kwenye mfumo wa vyama vingi, pamoja na sifa za mgombea, nguvu ya chama chake (kwa maana ya Sera) ndiyo huvutia wapiga kura.
Hivyo basi, CHADEMA, inajiondoa yenyewe kwenye kuaminiwa na wapiga kura.
MWANA KULITAFUTA MWANA KULIPATA
Kama ilivyo Chadema ni vibaraka wa mabeberu makina Robert Amsterdam na genge lake!Hayo mavyama mfu, vibaraka wa CCM
Wachumia tumbo
Mavyama hayakemei Serikali kwa kupora haki za wafanyakazi... wakulima
FAO la kujitoa
Kwendeni huko, mtamfanya Nini mwamba
Kumbuka Chadema imekuwa chama kikuu cha upinzani 2015 tu kabla kulikuwa na NCCR baadae CUF. Hivyo usishangae kuna siku inawezekana ikatokea chama kingine kikawa chama kikubwa cha upinzani.Na mimi mwenye majona tajwa hapo juu nasema: Tanzania tuna Chadema na CCM tu!
Licha ya ACT kuja kasi na kuwa na muelekeo chanya, nina mashaka malengo ya uanzishwaji wake.
Kama vipi waniite na mimi nikatoe maelezo, halafu tuwe live dunia inisikie nitakachosema.