Uchaguzi 2020 Vyama 8 vinavyoshiriki Uchaguzi vyamtaka Mbowe ajieleze kwa Msajili baada ya kuviita ni vyama bandia

Na mm naviita ni vyama wasindikizaji na wanaosubiria kuitwa kwenye hafla za kitaifa waende wakauze sura na kupewa bahasha.!
 

Hata kama ni wasindikizaji CHADEMA haina haki kuviita bandia. Hapo ni kama CHADEMA inajiona bora kuliko vyama vingine.
 
Subiri October 28 chadema mkose wabunge na madiwani halafu uje na huo ushauri vyama vipi vibakie
Sawa, tume itainyang'anya wabunge kwa kigezo kuwa Lissu alipata adhabu ya kufungiwa hivyo Chadema imepoteza sifa ya kuwa na wabunge, kumbuka Zanzibar matokeo yalifutwa kwa sababu eti wajumbe walivua mashati wakati wa kuhesabu kura!
 
Sio vyama hivyo ni vikundi vya washkaji wa uvccm.
 
Hawa nao watulie ,badala ya kuweka nguvu katika kampeni zao wapo busy na Mambo madogomadogo ,mfano mtu akisema hivyo wakati wewe unajua sio Kuna shida gani ? Si unatakiwa uende kwa Kasi zaidi ili umuonyeshe kwamba upo strong kuliko kulazimisha kuomba msamaha ambao hauna msaada kwa vyama vyenu
 
Chadema hawajaweka mgombea zanzibar. Walisha state siku nyingi kuwa hawana maslahi huko.
Nashangaa unavyovipambanisha na chadema wkt hawana mpango huo.
Laba unge wapambanisha na ACT wazalendo
 
Baadhi ya kweli chache ninazozifahamu hata ukibisha mpaka ugalegale chini hakibadiliki kitu
1.vyama vilivyotajwa na mbowe ni kweli ni vyama bandia
2.Jiwe hajui kingereza
3.Polisi,tume ya uchaguzi na mamlaka nyingine ni vyombo muhimu vya Magufuli anavyovitumia vibaya kwa manufaa yake.
4.Jiwe hana hekima licha tu ya kuwa rais kwa umri wake mkubwa ilitakiwa hekma iwe imemtawala
5.Phd ya jiwe ni feki.
 
I will give them the ocean dodoma, eti naye anagombea urais, kwa mzaha huu lzm kalipwa.
 
Kuna vyama huwa unasikia majina yake wakati wa uchaguzi mkuu tu...

Mfano kuna chama kinaitwa "Chama cha Wakulima", hujawahi hata siku moja kusikia hoja zao au mijadala huru wakitetea wakulima...
 
Eti CHADEMA imeona Uchaguzi umekua mgumu kwao, that means kwa vyenyewe Uchaguzi ni mrahis kwao so watapata kura zaidi ya CHADEMA.

Hivi ndo vile Vyama ambavyo kura zao hazifiki hata 0.01% ya kura zote, hivyo ingawa vinakua na kura lakin utakuta vinaandikiwa 0.00%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…