Vyama aina ya CCM huwa havitoki madarakani kwa sanduku la kura

Vyama aina ya CCM huwa havitoki madarakani kwa sanduku la kura

Mto Songwe

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2023
Posts
6,683
Reaction score
14,060
Wengi wanaweza wasipende lakini ukweli halisia ni kuwa vyama aina ya CCM au watawala mmoja mmoja aina ya CCM huwa hawatoki madarakani kwa sanduku la kura.

Hivi vyama vya namna hii vina mtindo wake wa kutolewa madarakani.
 
Au itakuwa ni hivi tu....
iu
 
Wanasiasa ni moja kati ya kundi la watu waoga na waongo sana.
 
Chadema ni kundi la wajanja wachache,sera zao ni kutakana matusi tuu.
...ina maana wanaendekeza uharakati kuliko Siasa na ajenda za sera.

Ujanja wao na sera za kiharakati- kutifuana na kuamsha hisia, kutukana na kutia watu hasira ni mbinu za kale, ka zilivyo mbinu za UASI- waje wafanye UASI waone cha mtema kuni, hizo za uharakati nazo zishabuma.
 
Wafundishe CHADEMA wauze sera na sio kufanya UASI.
HUJUI HATA MAANA YA UASI UNABWEKA TU KAMA MBWA ALIYEPANDWA VIBAYA.
UASI NI PALE MTU AU KIKUNDI CHA WATU KINAPOTOKA KWENYE KIKUNDI KIKUU NA KUPINGGA KIKUNDI KINGINE
chadema ni chama cha siasa kilichosajiliwa kihalali na kisheria. lengo la chama chochote cha siasa ni kushika dola.
wewe kwa ujuha wako unafikiria kupingana wakati wa uchaguguzi huo ni UASI halafu unaitwa GT mnatufanya wana JF tuonekane vituko kwa uchawa wenu
 
Hii ndio inaitwa Ad hominem, bisha huu sio UASI

Mkuu CCM MKAMBARANI

Chadema ni kundi la

kutakana matusi tuu.
100%[✓]
 
Hii ndio inaitwa Ad hominem, bisha huu sio UASI

Mkuu CCM MKAMBARANI

100%[✓]
Unajua tunaposema kuwa CCM Haitotoka madarakani ni kwa sababu ya kuwa tumewafikia watanzania kila kona,maana upinzani hawapo vijijini na si kwamba wakiamua kufanya kazi hawataweza tatizo hawana dhamira ya kweli ni wachumia turbo.
 
...ina maana wanaendekeza uharakati kuliko Siasa na ajenda za sera.

Ujanja wao na sera za kiharakati- kutifuana na kuamsha hisia, kutukana na kutia watu hasira ni mbinu za kale, ka zilivyo mbinu za UASI- waje wafanye UASI waone cha mtema kuni, hizo za uharakati nazo zishabuma.
Kabisa,wakisema walete shida ya fujo lazima wajibiwe kwa nguvu zaidi waliyoitumia,uasi wanaujua uasi hao,yaani mwizi wa magari kama Lema afanye uasi,hawezi kabisa.
 
Tatizo kubwa la wafuasi na wanachama wa vyama vya upinzani ni kutokupiga kura siku ya uchaguzi. Huwezi mkuta mfuasi/mwanachama wa CCM siku ya uchaguzi asiende kupiga kura.

CCCM wana wenyeviti wa mashina katika kila mtaa na kila mtaa una shina la CCM, wapinzani wanaanza kupigwa bao hapo kwenye kura. WanaCCM wanapiga kura wote kwa wingi na tena kwa kuimizana kabisa na hii kazi inafanywaga na watu fulani fulani wa kwenye matawi kwenye kila mtaa.

Sitosema sana ila nachosema generally wapinzani hawapigi kula kabisa kwa wingi wao.
Haya nimeyashuhudia si mara moja au mara mbili katika chaguzi kadhaa.
 
Back
Top Bottom