Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Tufanye nini?Wengi wanaweza wasipende lakini ukweli halisia ni kuwa vyama aina ya CCM au watawala mmoja mmoja aina ya CCM huwa hawatoki madarakani kwa sanduku la kura.
Hivi vyama vya namna hii vina mtindo wake wa kutolewa madarakani.
Chadema ni kundi la wajanja wachache,sera zao ni kutakana matusi tuu.Wafundishe CHADEMA wauze sera na sio kufanya UASI.
...ina maana wanaendekeza uharakati kuliko Siasa na ajenda za sera.Chadema ni kundi la wajanja wachache,sera zao ni kutakana matusi tuu.
HUJUI HATA MAANA YA UASI UNABWEKA TU KAMA MBWA ALIYEPANDWA VIBAYA.Wafundishe CHADEMA wauze sera na sio kufanya UASI.
Kile kinachowezekana kuwatoa CCM nje ya sanduku la kura.Tufanye nini?
Hii ndio inaitwa Ad hominem, bisha huu sio UASIHUJUI HATA MAANA YA UASI UNABWEKA TU KAMA MBWA ALIYEPANDWA VIBAYA.
UASI NI PALE MTU AU KIKUNDI CHA WATU KINAPOTOKA KWENYE KIKUNDI KIKUU NA KUPINGGA KIKUNDI KINGINE
chadema ni chama cha siasa kilichosajiliwa kihalali na kisheria. lengo la chama chochote cha siasa ni kushika dola.
wewe kwa ujuha wako unafikiria kupingana wakati wa uchaguguzi huo ni UASI halafu unaitwa GT mnatufanya wana JF tuonekane vituko kwa uchawa wenu
Chadema ni kundi la
100%[✓]kutakana matusi tuu.
Unajua tunaposema kuwa CCM Haitotoka madarakani ni kwa sababu ya kuwa tumewafikia watanzania kila kona,maana upinzani hawapo vijijini na si kwamba wakiamua kufanya kazi hawataweza tatizo hawana dhamira ya kweli ni wachumia turbo.
Kabisa,wakisema walete shida ya fujo lazima wajibiwe kwa nguvu zaidi waliyoitumia,uasi wanaujua uasi hao,yaani mwizi wa magari kama Lema afanye uasi,hawezi kabisa....ina maana wanaendekeza uharakati kuliko Siasa na ajenda za sera.
Ujanja wao na sera za kiharakati- kutifuana na kuamsha hisia, kutukana na kutia watu hasira ni mbinu za kale, ka zilivyo mbinu za UASI- waje wafanye UASI waone cha mtema kuni, hizo za uharakati nazo zishabuma.