Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Zambia, Hakainde Hichilema amekuwa Rais wa chama cha UPND kwa miaka 18
Kenya, Raila Odinga amekuwa Kiongozi mkuu wa ODM kwa miaka 20, ameachia uongozi kugombea nafasi ya uongozi AU. Uhuru Kenyata bado ni Kiongozi mkuu wa chama cha Jubilee tangu mwaka 2016.
Zimbabwe, Morgan Tsvangirai alikuwa Kiongozi wa MDC-/T kwa miaka 20
Africa Kusini,Julius Malema amekuwa kiongozi wa Economic Freedom Fighter(EEF) kwa miaka 11, tangu kianzishwe.
Uingereza, Clement Attlee wa Labour Party alidumu katika uongozi kwa miaka 20.
Marekani, Mitch McConnell amekuwa kiongozi wa chama cha Republican kwa miaka 17
Israel, Benjamini Netanyahu amekuwa kiongozi wa chama cha Likud kwa miaka 23 na bado anaendelea.
CHADEMA hawapaswi kusumbuliwa kwa suala la kuwa na ukomo wa uongozi ndani ya chama.