Pre GE2025 Vyama mamluki matawi ya CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kama umemaliza kahawa toka hapo kijiweni, unapoelekea utaanza kuchambua matukio ya Baba na Mama yako.
 
Ni hivi hapa

ADA TADEA,
CCK
, NLD,
Demokrasia Makini,
NCCR- MAGEUZI,
TLP,
UPDP,
SAU
, UMD,
NRA
na Chama cha DP.
eti hiki ndio kinajipambanua kwamba ni chama cha siasa kikubwa kinacho panga kushinda uchaguzi

yaani kinababaishawa na kupanikishwa na mipango ya vyama vingine?
 
Mbowe ni mtu wa serikali, endeleeni kuzunguka.
Serikali hii hii ambayo iliamua kumzushia kesi mbaya ya ugaidi yenye tuhuma za kutaka kuziba barabara kwa kukata miti kuanzia Dar mpaka Mbeya enzi za Jiwe mwanasisiyemu mwenzao alikaa ndani kwa zaidi ya miezi nane!
 
Lissu ni speaker tu kufika ujumbe hawezi kufikiri mwenyewe
 
Hata hueleweki umeandika utoto gani.
 
WEWE Kama ni mwanamke mumeo ana shoti ya milele kama ndio Mimi mumeo nagomea unyumba MPAKA uondoke kwangu kibwengo WEWE.
 
Serikali hii hii ambayo iliamua kumzushia kesi mbaya ya ugaidi yenye tuhuma za kutaka kuziba barabara kwa kukata miti kuanzia Dar mpaka Mbeya enzi za Jiwe mwanasisiyemu mwenzao alikaa ndani kwa zaidi ya miezi nane!
Changa la macho tu hilo, alipoachiwa breki ya kwanza Ikulu..... kazi yake anaifanya vema.
 
WEWE Kama ni mwanamke mumeo ana shoti ya milele kama ndio Mimi mumeo nagomea unyumba MPAKA uondoke kwangu kibwengo WEWE.
Mimi mwanaume, ila ulivyoandika hapa, umeandika kama wa kike, sogea, nimeshaupasha
 
Ya Mrema na Marando upo sahihi kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…