Vyama mfu vya Upinzani kuitoa CCM madarakani haiwezekani na haitatokea milele, ila ikitokea huo ndio mwisho wa Tanzania

JOYOPAPASI

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2016
Posts
250
Reaction score
409
VYAMA MFU VYA UPINZANI KUITOA CCM MADARAKANI HAIWEZEKANI NA HAITATOKEA MILELE, ILA IKITOKEA HUO NDO MWISHO WA TANZANIA....Na Joseph Yona.

MbagalaZmaHome
yonapavea@gmail.com 0713802226

Kama ingetokea maajabu wananchi wa Tanzania wakafanya maamuzi ya kizwazwa kukitoa madarakani Chama Cha Mapinduzi na kukabidhi madaraka kwa chama chochote cha Upinzani basi huo utakuwa ndio mwisho wa Tanzania ya Watanzania.

Sababu
Vyama vya upinzani havina democrasia hasa CHADEMA, Mpaka leo tokea Enzi Ya Mkapa Bado mwenyekiti wa Taifa wa Chadema Ni yuleyule, na kauli zake Ni zile zile haoni ndani ya chama chake mwenye akili ya kuiongoza Chadema....So Ni Mazwazwa.

Vyama vya upinzani vina ukabila hasa CHADEMA na ACT wazalendo Uchaga, Upemba na Uha.

Vyama vya upinzani vina UDINI hasa ACT wazalendo.

Vyama vya upinzani havina misingi ya kuongoza dola wanataka majaribio HAPA NI VYOTE kwani Ni Dhaifu.

Vyama vya upinzani havina watendaji bali wapiga kelele, Viongozi wao wengi Ni mihemko na ndo maana kila kukicha wanapukutika.

Vyama vya upinzani vina kisasi serikali haiendeshwi kwa kisasi.

Rai yangu kwa watanzania tufanye kazi kwa manufaa ya TAIFA na VIZAZI vijavyo, tumuunge mkono Rais wetu ni zawadi toka kwa #MUNGU mataifa mengi wanaomba wampate kama Dkt #Magufuri TANZANIA OYEEEE.

Tanzania ya Leo Uchumi unapaa tunavuka malengo kabla ya muda.

Kwenye Korona Mataifa ya nje yanamuiga JPM-Leo watanzania wanafuraha kutofungiwa ndani kwa magonjwa ya Kisiasa.

Korona Ni Ugonjwa wa Kisiasa za Dunia...Yaani Duniani vituko haviishi Mara Osama, Mara IslamicState, Mara Korea Kaskazini na Kim Jong wao, Mara Korona nk nk. JPM alipimaa akagoma Tunasonga.

Tunalima, Tunachapa kazi, Miundombinu tunaiona.

Screenshot_20200713-125425_1.jpg
IMG_20200713_124400_567.jpg
IMG_20200713_124634_396.jpg
IMG_20200713_124343_830.jpg
IMG_20200713_124748_739.jpg
 
Umeandika kishabiki mnoo.. Na inaonekana uwezo wako wa kufikiria ni mdogo sana.
 
CCM hebu wafikirieni na hawa wafia chama jamani, hiki chama mmekikuta kina watu, sasa kutuma TAKUKURU kuwakamata kamata aisee ni kama mnawatenga na kuwadhalilisha!!

Ni ukweli usiofichika kwamba timu ya CCM ya ushindi ya 2005 kwa sasa ipo kwenye mawe ama kuti kavu!! ni msoto mzito. Afu pia hivi hamuoni aibu kulitumia Jeshi la Police na Tume ya uchaguzi na wakurugenzi ambao ndiyo wasimalizi wa uchaguzi majimboni kuwasaidia kushinda chaguzi ?

Unajua unapokuwa mtu mzima afu ukawa unafanya jambo ya wizi na dhuruma si vizuri hata vitabu vya dini vinakataza - hebu uchaguzi huu onyesheni mfano, muache hiyo tabia maana hii nchi si ya CCM bali ni ya watanzania wote hata wasio na ma-vyama.
 
CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala
 
Huyu huyu aliyeharibu nchi kwa kurundika vijana mtaani bila ajira tofauti na mtangulizi wake! Serikal4 inayosisitizb vijana wote wajiajiri nawakati huo yeye hajajiajiri analipwa mil 9 kwa mwezi na wizi mwingine. We unafikiri kwa nini vijana wamechachamaa kumtoa huyu dictator madarakani.

Yeye kwake miundo mbinu ni muhumu sana kuliko maisha yatu ilimradi apate sifa za kimataifa hata wote mkifa. Kwa nini wanalazimisha wote tukubali kuwa kuna uchumi wa kati wakati huku watu wanakufa kwa njaa?
 
Huyu anayefanya teuzi za kabila moja umemsahau? CDF, IGP, KM CCM, RC's, DC, DAS,s DED's n.k
 
Nothin lasts forever,

Mwisho wa CCM ni 2025. Ndiyo, yaja mabadiliko, lakini hizo ndizo hatua stahiki kuelekea kujitawala.
 
VYAMA MFU VYA UPINZANI KUITOA CCM MADARAKANI HAIWEZEKANI NA HAITATOKEA MILELE, ILA IKITOKEA HUO NDO MWISHO WA TANZANIA....Na Joseph Yona.

MbagalaZmaHome
yonapavea@gmail.com 0713802226

Kama ingetokea maajabu wananchi wa Tanzania wakafanya maamuzi ya kizwazwa kukitoa madarakani Chama Cha Mapinduzi na kukabidhi madaraka kwa chama chochote cha Upinzani basi huo utakuwa ndio mwisho wa Tanzania ya Watanzania.

Sababu
Vyama vya upinzani havina democrasia hasa CHADEMA, Mpaka leo tokea Enzi Ya Mkapa Bado mwenyekiti wa Taifa wa Chadema Ni yuleyule, na kauli zake Ni zile zile haoni ndani ya chama chake mwenye akili ya kuiongoza Chadema....So Ni Mazwazwa.

Vyama vya upinzani vina ukabila hasa CHADEMA na ACT wazalendo Uchaga, Upemba na Uha.

Vyama vya upinzani vina UDINI hasa ACT wazalendo.

Vyama vya upinzani havina misingi ya kuongoza dola wanataka majaribio HAPA NI VYOTE kwani Ni Dhaifu.

Vyama vya upinzani havina watendaji bali wapiga kelele, Viongozi wao wengi Ni mihemko na ndo maana kila kukicha wanapukutika.

Vyama vya upinzani vina kisasi serikali haiendeshwi kwa kisasi.

Rai yangu kwa watanzania tufanye kazi kwa manufaa ya TAIFA na VIZAZI vijavyo, tumuunge mkono Rais wetu ni zawadi toka kwa #MUNGU mataifa mengi wanaomba wampate kama Dkt #Magufuri TANZANIA OYEEEE.

Tanzania ya Leo Uchumi unapaa tunavuka malengo kabla ya muda.

Kwenye Korona Mataifa ya nje yanamuiga JPM-Leo watanzania wanafuraha kutofungiwa ndani kwa magonjwa ya Kisiasa.

Korona Ni Ugonjwa wa Kisiasa za Dunia...Yaani Duniani vituko haviishi Mara Osama, Mara IslamicState, Mara Korea Kaskazini na Kim Jong wao, Mara Korona nk nk. JPM alipimaa akagoma Tunasonga.

Tunalima, Tunachapa kazi, Miundombinu tunaiona.

View attachment 1505459View attachment 1505460View attachment 1505461View attachment 1505463View attachment 1505464
Wewe ni makalio sana! Wameshakiri kuwa wanaiba kura unaongea Nini wewe mbwa Koko?
 
Back
Top Bottom