Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Laiti kama vyama pinzani wangebeba agenda kuu ya kutokubali kufanya uchaguzi mpaka reforms kadhaa zifanyike mfano uwepo wa tume huru ya uchaguzi, kukataa uhuni wa vitambulisho vya taifa (NIDA) na vya vitambulisho vya kura kuunganishwa na mfumo wa CCM , bila shaka tungepata mwanzo mzuri wa kupata Tanzania mpya ,ooooh sorry Tanganyika mpya ile ambayo wengi tunaitamani, ile ambayo maamuzi yako ya kura yanaleta maana kuliko huu uhuni unaoendelea.
Vile vyama pinzani 16 vilivyoshiriki uchaguzi kwa tamaa za kujipatia fedha za kampeni na baadhi bila shaka walidhani wangepewa teuzi mwisho wa siku kuangukia pua na kutoswa , naona sasa wanajirudi kwa wananchi kupata huruma yao.
Tena kuna wengine walienda mbali zaidi kumnadi samuya badala ya kuwanadi wagombea wao wa nafasi ya urais.
Sasa Watanganyika kwa sasa tukishakuona snitch tunakutupa mazima hata uje useme nini, tumekukataa yani.
Jamaa naona wanajirudi kukemea mauaji na kudai haki, kwa kifupi ni sawa na kukumbuka shuka alfajiri.
Wasichokijua ni kwamba nchi ikiangamia hata na wao na vizazi vyao vitaangamia, watabaki wale tu watawala na familia zao.
Tamaa mbaya sana.
Tamaa mbele mauti nyuma ,
ACT, NCCR, CHAUMA nk tamaa zenu zimewaponza ,pambaneni na hali zenu, wananchi wanyonge hatutaki shobo dundo.