Hivi unajua kilichotokea kabla ya haya maandamano? Wametekwa na kuuawa watu wangapi? Kwa nini hawataki tufanye uchaguzi wa kuchagua viongozi wetu wenyewe? Kwa nini wananunua magari ya kifahari kwa kodi zetu wakati mamia ya wananchi wanafariki kwa kukosa dawa? Kwa nini wanakataza wananchi kuandamana kwa amani? Kufananisha maduka na hayo niliyoorodhesha ni ushetani!
SIna tatizo na nyinyi kuandamana, kwanini muharibu mali za watu kwenye hayo maandamano yenu? au huelewi kiswahili.