Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Hujitambui 🚮nyie jamaa mbona munapenda kulazimisha kila mtu aishi kama munavyotaka nyinyi?
Vyama "mpango wa kando"Hasa act na chaumma
Jamaa kajiharibia parefuvikiongozwa na lile dalali tapeli la ACT
Watu wanataka kila mtu aishi kwa kufuata sheria na apate haki kama katiba inavyosema. Wewe unasema kuishi unavyopenda namna gani? Unataka ufanye ufisadi na kuua kwa kisingizio kuwa ni maisha yako?nyie jamaa mbona munapenda kulazimisha kila mtu aishi kama munavyotaka nyinyi?
Watu wanataka kila mtu aishi kwa kufuata sheria na apate haki kama katiba inavyosema. Wewe unasema kuishi unavyopenda namna gani? Unataka ufanye ufisadi na kuua kwa kisingizio kuwa ni maisha yako?
Hivi unajua kilichotokea kabla ya haya maandamano? Wametekwa na kuuawa watu wangapi? Kwa nini hawataki tufanye uchaguzi wa kuchagua viongozi wetu wenyewe? Kwa nini wananunua magari ya kifahari kwa kodi zetu wakati mamia ya wananchi wanafariki kwa kukosa dawa? Kwa nini wanakataza wananchi kuandamana kwa amani? Kufananisha maduka na hayo niliyoorodhesha ni ushetani!kuvunja maduka ya watu nakoni kufata sheria?
takatakaHata chagadema ni chama cha wanafiki vile vile ndio maana viongozi wao wale wakubwa wote wamekimbilia ccm.. na wanapofika ccm wanapewa madaraka makubwa tu, kifupi chagadema ni ccm B.. rejea kwa Joshua nasari, lijua likali, dr mashinji, Ester bulaya , dr silaa hawa ni wachache tu ambao baada ya kutoka chagadema na kuja ccm wamelamba teuzi na walikuwa viongozi waandamizi wa chagadema.. sasa hebu niambie mnafiki ACT wazalendo, Chauma au chagadema
Hivyo siyo vyama vya upinzani, ni miradi ya ccm kuhadaa wajingaVile vyama pinzani 16 vilivyoshiriki uchaguzi kwa tamaa za kujipatia fedha za kampeni na baadhi bila shaka walidhani wangepewa teuzi
🚮Hata chagadema ni chama cha wanafiki vile vile ndio maana viongozi wao wale wakubwa wote wamekimbilia ccm.. na wanapofika ccm wanapewa madaraka makubwa tu, kifupi chagadema ni ccm B.. rejea kwa Joshua nasari, lijua likali, dr mashinji, Ester bulaya , dr silaa hawa ni wachache tu ambao baada ya kutoka chagadema na kuja ccm wamelamba teuzi na walikuwa viongozi waandamizi wa chagadema.. sasa hebu niambie mnafiki ACT wazalendo, Chauma au chagadema
Nani amekwambia wananchi wanapigania chadema iingie madarakani?Hata chagadema ni chama cha wanafiki vile vile ndio maana viongozi wao wale wakubwa wote wamekimbilia ccm.. na wanapofika ccm wanapewa madaraka makubwa tu, kifupi chagadema ni ccm B.. rejea kwa Joshua nasari, lijua likali, dr mashinji, Ester bulaya , dr silaa hawa ni wachache tu ambao baada ya kutoka chagadema na kuja ccm wamelamba teuzi na walikuwa viongozi waandamizi wa chagadema.. sasa hebu niambie mnafiki ACT wazalendo, Chauma au chagadema