Vyama Tawala, Tabia za kupeana vyeo na Scandal ya Equatorial Guinea

Bush Dokta

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2023
Posts
24,831
Reaction score
45,154
Inasikitisha sana kwa kile kinachoendelea kwenye Bara la Afrika.

Huku wananchi wanawachagua( kama kweli wanachaguliwa kwa kura) wakiamini wataenda maofsini kufanya kazi na kukuza uchumi, utawala bora, maendeleo ya viwanda na hali nzuri ikiwemo ustawi wa wananchi.

Kama ilivyo kwa vyama vyote tawala hapa afrika kumekuwa na tabia ya viongozi kujaza ndugu zao wenye sifa na wasio na sifa ktk ofisi za umma.

Huyu jamaa aliyawadhalilisha ndugu wa viongozi wa nchi hiyo amethibitisha kile tunachopigia kelele.

Katika baadhi ya video zilizovuja mitandaoni anaobekana CAG wa Guinea NIF(National Finance Investigation) akifanya matendo maovu ndani ya ofisi mbele ya Bendera ya taifa na baadhi ya Hotel kadhaa za gharama kubwa.

Kwa mwonekano wa mwenendo wa video zile inaonaka wahusika wote walikuwa wamedhamilia kurekodi picha hizo chafu.

Taarifa zinatanabaisha kuwa miongoni mwa wathrika ni pamoja na Mke wa IGP wa Guinea, Shemeji wa Baltazar yaani Mke wa Kaka yake, Mpwa wa Rais President Theodoor Obiang na wake za mawaziri.

Jambo lingine linaloshangaza ni namna gani waliweza kurecord video nyingi kiasi hicho bila kugundulika.

Itambulike kuwa President Theodoor ni mtoto wa Rais wa Zamani Obiang.

Rais huyo alipanda vyeo kutoka Kuwa Makamu wa Pili wa Rais, Makamu wa kwanza wa Rais huku at the same time akiwa Waziri wa Ulinzi na Usalama( Defence and Security).

Ni jambo la kushangaza kwamba Baltazar hakuwa na wasi wasi wowote juu ya jambo hilo.

Jambo lingine la kutafakari ni kwanini CDs zote zilikuwa ofsini mwake, alitaka kuzifanyia nini?

Baltazar ana umri wa miaka 54 na Rais Theo ana umri wa miaka 56. Je unaelewa nini ndugu mchambuzi?

Nimewaza na kuwapongeza Viongozi wa Upinzani Tanzania hususani Chadema ambao constantly wamekuwa wakipekuliwa mara kwa mara majumbani mwao, kwenye vyombo vyao vya mawasiliano simu na laptops kwa nguvu ma kwa idadi isiyo mithirika. Hata hivyo hakuna Kashifa hata moja, rudia tena Hata Moja waliwahi kukutwa nayo.

Kama wangekutwa nayo imagine Watesi wao wangeifanyaje kashfa hiyo mbele za umma.

Tunawaasa viongozi wetu wanapopewa dhamana ya kuongoza basi waache kutumia pesa za umma kujinufaisha na kufanya mambo yasiyofaa.
 
Ktk baadhi ya video zilizovuja mitandaoni anaobekana CAG wa Guinea NIF(National Finance Investigation) akifanya matendo maovu ndani ya ofisi mbele ya Bendera ya taifa na baadhi ya Hotel kadhaa za gharama kubwa.

Kwa mwonekano wa mwenendo wa video zile inaonaka wahusika wote walikuwa wamedhamilia kurekodi picha hizo chafu.

Taarifa zinatanabaisha kuwa miongoni mwa wathrika ni pamoja na Mke wa IGP wa Guinea, Shemeji wa Baltazar yaani Mke wa Kaka yake, Mpwa wa Rais President Theodoor Obiang na wake za mawaziri.

Jambo lingine linaloshangaza ni namna gani waliweza kurecord video nyingi kiasi hicho bila kugundulika.

Itambulike kuwa President Theodoor ni mtoto wa Rais wa Zamani Obiang.

Rais huyo alipanda vyeo kutoka Kuwa Makamu wa Pili wa Rais, Makamu wa kwanza wa Rais huku at the same time akiwa Waziri wa Ulinzi na Usalama( Defence and Security).

Ni jambo la kushangaza kwamba Baltazar hakuwa na wasi wasi wowote juu ya jambo hilo.

Jambo lingine la kutafakari ni kwanini CDs zote zilikuwa ofsini mwake, alitaka kuzifanyia nini?

Baltazar ana umri wa miaka 54 na Rais Theo ana umri wa miaka 56. Je unaelewa nini ndugu mchambuzi?

Nimewaza na kuwapongeza Viongozi wa Upinzani Tanzania hususani Chadema ambao constantly wamekuwa wakipekuliwa mara kwa mara majumbani mwao, kwenye vyombo vyao vya mawasiliano simu na laptops kwa ngvu ma kwa idadi isiyo mithirika. Hata hivyo hakuna Kashifa hata moja, rudia tena Hata Moja waliwahi kukutwa nayo.

Kama wangekutwa nayo imagine Watesi wao wangeifanyaje kashfa hiyo mbele za umma.

Tunawaasa viongozi wetu wanapopewa dhamana ya kuongoza basi waache kutumia pesa za umma kujinufaisha na kufanya mambo yasiyofaa.
Ukitaka video nifate pm
 
Inasikitisha sana kwa kile kinachoendelea kwenye Bara la Afrika.

Huku wananchi wanawachagua( kama kweli wanachaguliwa kwa kura) wakiamini wataenda maofsini kufanya kazi na kukuza uchumi, utawala bora, maendeleo ya viwanda na hali nzuri ikiwemo ustawi wa wananchi.

Kama ilivyo kwa vyama vyote tawala hapa afrika kumekuwa na tabia ya viongozi kujaza ndugu zao wenye sifa na wasio na sifa ktk ofisi za umma.

Huyu jamaa aliyawadhalilisha ndugu wa viongozi wa nchi hiyo amethibitisha kile tunachopigia kelele.

Katika baadhi ya video zilizovuja mitandaoni anaobekana CAG wa Guinea NIF(National Finance Investigation) akifanya matendo maovu ndani ya ofisi mbele ya Bendera ya taifa na baadhi ya Hotel kadhaa za gharama kubwa.

Kwa mwonekano wa mwenendo wa video zile inaonaka wahusika wote walikuwa wamedhamilia kurekodi picha hizo chafu.

Taarifa zinatanabaisha kuwa miongoni mwa wathrika ni pamoja na Mke wa IGP wa Guinea, Shemeji wa Baltazar yaani Mke wa Kaka yake, Mpwa wa Rais President Theodoor Obiang na wake za mawaziri.

Jambo lingine linaloshangaza ni namna gani waliweza kurecord video nyingi kiasi hicho bila kugundulika.

Itambulike kuwa President Theodoor ni mtoto wa Rais wa Zamani Obiang.

Rais huyo alipanda vyeo kutoka Kuwa Makamu wa Pili wa Rais, Makamu wa kwanza wa Rais huku at the same time akiwa Waziri wa Ulinzi na Usalama( Defence and Security).

Ni jambo la kushangaza kwamba Baltazar hakuwa na wasi wasi wowote juu ya jambo hilo.

Jambo lingine la kutafakari ni kwanini CDs zote zilikuwa ofsini mwake, alitaka kuzifanyia nini?

Baltazar ana umri wa miaka 54 na Rais Theo ana umri wa miaka 56. Je unaelewa nini ndugu mchambuzi?

Nimewaza na kuwapongeza Viongozi wa Upinzani Tanzania hususani Chadema ambao constantly wamekuwa wakipekuliwa mara kwa mara majumbani mwao, kwenye vyombo vyao vya mawasiliano simu na laptops kwa nguvu ma kwa idadi isiyo mithirika. Hata hivyo hakuna Kashifa hata moja, rudia tena Hata Moja waliwahi kukutwa nayo.

Kama wangekutwa nayo imagine Watesi wao wangeifanyaje kashfa hiyo mbele za umma.

Tunawaasa viongozi wetu wanapopewa dhamana ya kuongoza basi waache kutumia pesa za umma kujinufaisha na kufanya mambo yasiyofaa.
Tafadhali weka na video ili nasi tusioona hilo tukio tupate kutoa maoni yetu
 
Kama yule mmiliki tu bar manjagu walivyokuta mzigo wake akipiga tako tatu wakauacha utrend sipati picha wanasiasa waupingaji siku wakitoa boko la hivyo
 
Itakuwa balaa
 
Kama viongozi wa upinzani Tanzania wangekutwa nazo basi pasingekarika ila nafsi yangu inaniambia Maccm wakija kupekuliwa 10 basi wa3 watakutwa na hizo mbanga.
 
Kuna yule mwingine mjengoni alipigaga marufuku webs kadhaa zisiangaliwe; jamaa ambavyo hawanaga SIRI wakamtaja kama mwana chama wao wa muda mrefu na huaga anachangia kwa maandishi kabisa; mbafu kabisa
 
Back
Top Bottom