Mapambano Yetu
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 1,130
- 2,102
Hivi punde kuna taarifa ya Waziri wa TAMISEMI ikisema baada ya rufaa wagombea wote waliokuwa wamekata rufaa watarudishwa kwenye kinyang'anyiro.
www.jamiiforums.com
Na ninavyofahamu mimi mgombea ndiye mwenye haki ya kujitoa kwenye uchaguzi.
Kuna uwezekano majina yote hata ya wale ambao hawakukata rufaa yakarudishwa. Lengo ni kuutangazia ulimwengu kuwa wapinzani wana sababu nyingine nje ya hizo walizozitaja.
Ili kukomesha hilo wapinzani wawaelekeze wagombea wao wote nchi nzima kuandika barua kwa wasimamizi wa uchaguzi kuwataarifu kuwa wameamua kujiondoa rasmi. Vinginevyo wataendelea kutambulika kama wagombea halali na serikali itautumia mwanya huo kujitangaza kuwa uchaguzi ulikuwa huru na haki kwa kila chama.
Nawasilisha.
Updates
Updates
Waziri Jafo asema atabandika majina hata ya wale waliojitoa na kura zitapigwa
MATOKEO YA RUFAA ZA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KUTOLEWA NOVEMBA 10. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI SELEMANI JAFO akizungumza Jijini Dodoma amesema katika zoezi la kuchukua fomu kuna makosa mbalimbali yalifanyika katika kujaza fomu nyingi ikiwa ni pamoja na kaukosea majina ya eneo...