Vyama viwe na msemaji mmoja tu kwa ajili ya kukanya ama kutangaza adhabu

Vyama viwe na msemaji mmoja tu kwa ajili ya kukanya ama kutangaza adhabu

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Hivi karibuni kumezuka mjadala mzito vyamani pale anapokosea mheshimiwa yoyote

Tumeona timu ya G19 ilioyoshambuliwa na kila kiongozi wa chady kwa kuingia mjengoni..

Sasa imekuwa taharuki akisimama mbunge kusema kitu. Unasikia, amemwonya, Ghafla Ameonya

Unawaza ni vyama vuwili tofauti ama Lah. Vyema kukawa na kiongozi mmoja tu kwa ajili ya kutoa tamko pale wanapoona waheshimiwa wanaenda kinyume na maadili.

Itasaidia kuongeza umoja zaidi. Hii ya akiongea huyu kule anasema hivi.. Wale wanasemaje vile inashtua kidogo

Otherwise tukutane chanjoni

J&J hse
 
Uteuzi unawafanya wawe na kiki ili waonekane kwa mkuu,hivyo yamekuwa kama mashindano hivi
 
Angalau umeanza kuandika vizuri, lakini jitahidi namna ya kutumia mkato pamoja na kituo kikubwa.
 
Back
Top Bottom