Uchaguzi 2020 Vyama vya Siasa 12 vyamtaka Msajili wa Vyama vya Siasa kumchukulia hatua Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Maalim Seif wakidai ametoa kauli za uchochoezi

Hapana tena katoa matamshi malaini ilitakiwa yawe magumu zaidi ya pale.maalim kaza wameanza kusikia kuwa amani ni tunda la haki
 
Kuna vyama Sasa hapo??
 
Hii barua kama ni ya kweli basi ni ya ajabu kabisa. Inaongelea amani bila kuongelea haki. Hakuna mahali wameongelea engua engua iliyotokea hasa Pemba na kutoa ushauri wao kwa serikali wao wamemuuona Maalim tu. Kama ni kweli huu ni upuuzi uliotukuka.
 

Kwenye mkururo wote huo wa vyama hakuna hata CCM wala CUF ya mapumba Ila NCCR ya mbatia, komu, kubenea, serasini na wenzao?

Aibu kidogo basi jamani?

Husuda mbaya hivyo ya kishetani shetani ya nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…