Vyama vya siasa feki Tanzania

Mhh. heading yako inasema vyama feki Tanzania! kama hutaki ccm ijadiliwe au kama unadhani ccm sio chama feki basi unaweza kuibadili na kuiita vyama feki (isipokuwa ccm) Tanzania....

labda CCM siyo chama Bi. Mdogo.. au siyo Feki... au siyo chama feki... au siyo chama cha Tanzania..
 
the same statements nilimsikia Chenge akizitumia kuhusu Chadema, nilidhani kada wewe ni nccr kama ulivyoahidi??

chenge hana uhusiano wowote na mimi, aseme asiseme hanihusu wala hoja yake hainihusu. Sina haja ya kuwa kwenye chama chochote kuelekeza hoja ifikie walengwa !
 
Na katika sifa hizo CCM haihusiki?
 
Na waliokabidhi Kiwira kwa wakwe zao wanatoka Chama gani?

Unaonekana kumtetea Mtei kumrithisha mkwe wake Mbowe Chama,hii ndio kusema unakubaliana na utaratibu wa wakwe kukabidhiwa urithi wa rasilimali za umma au?
 
chenge hana uhusiano wowote na mimi, aseme asiseme hanihusu wala hoja yake hainihusu. Sina haja ya kuwa kwenye chama chochote kuelekeza hoja ifikie walengwa !

Ukitumia statement za chenge basi unajiweka kwenye nafasi ya kuhusishwa naye!
 
Unaonekana kumtetea Mtei kumrithisha mkwe wake Mbowe Chama,hii ndio kusema unakubaliana na utaratibu wa wakwe kukabidhiwa urithi wa rasilimali za umma au?

wewe unasubiriwa hapa:

na ulikuta nini kuhusu Buzwagi, Richmonduli, wizi BoT, Kiwira, Bulyanhulu, rada feki, ndege ya bei ya kutupwa, na ukosefu wa huduma muhimu nchini?
 
Ukitumia statement za chenge basi unajiweka kwenye nafasi ya kuhusishwa naye!

bwahahahaaaaaaaa.... kituko cha mwaka ! next time how about you shut dat bowl up!

i dont keep track of people's words, hayo ni maneno yangu binafsi !
 
bwahahahaaaaaaaa.... kituko cha mwaka ! next time how about you shut dat bowl up!

i dont keep track of people's words, hayo ni maneno yangu binafsi !

hata chenge atafurahi sana akisikia umetumia maneno yake hapa huku ukiyaita yakwako binafsi.
 
hata chenge atafurahi sana akisikia umetumia maneno yake hapa huku ukiyaita yakwako binafsi.

nadhani atafurajo zaidi akijua kwamba wewe unaweka track ya maneno anayoongea ! pengine wewe umekuwa teleprompter yake, anaongea kutokana na unachosema wewe !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…